uttoh2002
JF-Expert Member
- Feb 3, 2012
- 17,060
- 32,400
Diana Bundala maarufu kama Mfalme Zumaridi ameachiwa huru leo Februari 18 baada ya kumaliza kifungo chake cha mwaka mmoja katika gereza kuu la Butimba, ambapo mahakama iliamuru atumikie mwezi mmoja gerezani baada ya kukaa mahabusu miezi 11.
Credit: East Africa Radio
View attachment 2521594
View attachment 2521604
Kuna wanaume hapo wana wake na watoto wanashabiki huu upumbavu