Mfalme Zumaridi aachiliwa huru, amwaga uno mbele ya waumini

Mfalme Zumaridi aachiliwa huru, amwaga uno mbele ya waumini

Bila shaka wewe ni Kerubi.

Huyo mama alikutwa na hatia akafungwa kifungo cha mwaka mmoja. Hukumu yake ilisomwa mwezi uliopita, ametoka jela leo kwasababu alikua tayari ameshasota butimba kwa miezi 11.
Kwahiyo hakuna uonevu wala udhalilishaji wa huyo mfalme wenu.
Kwa hiyo miezi aliyokaa rumande imejuishwa ktk mwaka mmoja aliohukumia ?mimi sio mtaalam wa sheria
 
Angalia (misukule yake) inavyoshangilia.
20230218_202513.jpg

Kauli ya wadau hiyo ☝🏾 ndivyo walivyoandika huko mtandaoni.
20230218_202507.jpg


Looke at this...
IMG_20230218_202905.jpg
 
Ifike mahali, serikali kupitia wizara ya mambo ya ndani kupiga marufuku haya madini ya shetani. Watu wameanza kuabudiwa siku hizi, na doctrines zao ni nyota, fulani mchawi, etc kwanini wasifanye kama rwanda.
 
Mwamba Alikuwa Anointed Holy Man (Mpakwa Mafuta Wa Bwana)
Rugemalira Alipogoma Kumpigia Magoti Jiwe Akasema Acha Nifie Gerezani
Pesa Zangu Hizi


Akatiwa Msukosuko Mkali, Manyanyaso Kama Yote, Akagoma Kuomba Plea Bargain
 
Haya mambo ya uonevu uonevu yamezidi sana huyu mama walimkamata na kumbambikizia makesi kibao leo hii ashasota gerezani ndo wanamuachia

Hawajui ni kwa kiasi gani amepata hasara?Hawajui ni kwa kiasi gani mmemuharibia maisha yake?

Tanzania tuna uhuru wa kuabudu kila kitu ana ruhusa ya kuabudu anavyotaka, tatizo ni wivu tu inawezekana kuna vigogo au watu wa kwenye usalama waliokua wanataka pesa zake au kuona anapata fungu kubwa ndo wakaona hawapeww wakaona wambambikizie kesi

Wameshamdhalilisha sana, jee serikali imepata nini?Sijui tunatengeneza taifa gani la uonevu uonetu tu...Huu ni wakati wa yeye kulipwa fidia kwa kudhalilishwa na kusoteshwa magerezani na rumande ilhali hakua na hatia

My take:Wafia dini watakuja kutukana kwenye huu uzi tafadhali pita kushoto

Huyo Mama ni mshenzy na mpumbavu kama wewe.
 
Ioa ndipo unapogundua wakati.mwingine binadamu ni Mbumbumbu wa kurupwa.Mtu anajiita mungu,lakini kakamatwa kawwkwa mahabusu,mahakama imemhukumu.Alafu kifungo kimeisha.Na kuna watu wanamini ni mungu wao.Du
Mungu anakamatwaje kizembe vile mitume akina Petro na akina Paulo walipokamatwa milango ilikuwa ikifungua.
mungu gani anafugwa gerezani mwaka mzima tena eti kwa kuonewa na kuta za gereza zinamzuia kutoka gerezani...
 
Leo ni siku njema,hatimaye shetani na wafuasi wake wamepatwa na aibu,mfalme katoka sasa tunaanza pale tulipo ishia kwa nguvu na ari zaidi. live long mfalme zumaridi.
Wewe mwenyewe ni shetani sema hujijui, kubishana na maumbile ya Mungu, ni ushetani. Dunia mzima inajua hakuna mfalme mwanamke, bali kuna malkia ila Zumaridi anatumia utambulisho wakiume huku akiwa mwanamke, alafu mnamuita mtu wa Mungu.
 
Diana Bundala maarufu kama Mfalme Zumaridi ameachiwa huru leo Februari 18 baada ya kumaliza kifungo chake cha mwaka mmoja katika gereza kuu la Butimba, ambapo mahakama iliamuru atumikie mwezi mmoja gerezani baada ya kukaa mahabusu miezi 11.

Credit: East Africa Radio

View attachment 2521594
View attachment 2521604
Ashukuru kanenepea magereza mpka nyonyo imenenepa
 
Back
Top Bottom