Mfalme Zumaridi aachiliwa huru, amwaga uno mbele ya waumini

Mfalme Zumaridi aachiliwa huru, amwaga uno mbele ya waumini

Agombee Urais sasa.

Chadema mteja wenu huyo.
 
Diana Bundala maarufu kama Mfalme Zumaridi ameachiwa huru leo Februari 18 baada ya kumaliza kifungo chake cha mwaka mmoja katika gereza kuu la Butimba, ambapo mahakama iliamuru atumikie mwezi mmoja gerezani baada ya kukaa mahabusu miezi 11.

Credit: East Africa Radio

View attachment 2521594
View attachment 2521604
Huyu dada ana nguvu gani!?? Umaarufu na mzuka naona ndo umezidi..

Hii nchi hii aisee .!??😅😅😅😅😂😂
 
Back
Top Bottom