Mfalme Zumaridi aachiliwa huru, amwaga uno mbele ya waumini

Mfalme Zumaridi aachiliwa huru, amwaga uno mbele ya waumini

Makerubi Leo Wanafuraha Sana Baada Ya Mfalme Kutoka Mbombo, Nchi Hii Ukikaa Huku PhD Za Kununua Kule Mfalme, Chifu, Nabii

Mambo Ni Mengi, Suguye Naye Bado Huduma Imesimamishwa
 
Diana Bundala maarufu kama Mfalme Zumaridi ameachiwa huru leo Februari 18 baada ya kumaliza kifungo chake cha mwaka mmoja katika gereza kuu la Butimba, ambapo mahakama iliamuru atumikie mwezi mmoja gerezani baada ya kukaa mahabusu miezi 11.

Credit: East Africa Radio

View attachment 2521594
View attachment 2521604
Duh!! hata mwezi mmoja bado toka ahukumiwe kutumikia mwaka mmoja jela keshatoka jela!!!
 
Kazi iendelee dadeki, nipeni location ni maeneo gani hapa Mwanza?
 
Muhuni kama wahuni wengine tuu, eti watu waka msujudia kabisa duuuuuuh hii nchi mazuzu ni wengi sana
 
Diana Bundala maarufu kama Mfalme Zumaridi ameachiwa huru leo Februari 18 baada ya kumaliza kifungo chake cha mwaka mmoja katika gereza kuu la Butimba, ambapo mahakama iliamuru atumikie mwezi mmoja gerezani baada ya kukaa mahabusu miezi 11.

Credit: East Africa Radio

View attachment 2521594
View attachment 2521604
Wajinga ndiyo waliwao,
Tanzania hata anzihe dini ya kuabudu shetaniwafuasi utawapata TU.
 
Haya mambo ya uonevu uonevu yamezidi sana huyu mama walimkamata na kumbambikizia makesi kibao leo hii ashasota gerezani ndo wanamuachia

Hawajui ni kwa kiasi gani amepata hasara?Hawajui ni kwa kiasi gani mmemuharibia maisha yake?

Tanzania tuna uhuru wa kuabudu kila kitu ana ruhusa ya kuabudu anavyotaka, tatizo ni wivu tu inawezekana kuna vigogo au watu wa kwenye usalama waliokua wanataka pesa zake au kuona anapata fungu kubwa ndo wakaona hawapeww wakaona wambambikizie kesi

Wameshamdhalilisha sana, jee serikali imepata nini?Sijui tunatengeneza taifa gani la uonevu uonetu tu...Huu ni wakati wa yeye kulipwa fidia kwa kudhalilishwa na kusoteshwa magerezani na rumande ilhali hakua na hatia

My take:Wafia dini watakuja kutukana kwenye huu uzi tafadhali pita kushoto
 
Bila shaka wewe ni Kerubi.

Huyo mama alikutwa na hatia akafungwa kifungo cha mwaka mmoja. Hukumu yake ilisomwa mwezi uliopita, ametoka jela leo kwasababu alikua tayari ameshasota butimba kwa miezi 11.
Kwahiyo hakuna uonevu wala udhalilishaji wa huyo mfalme wenu.
 
Leo ni siku njema,hatimaye shetani na wafuasi wake wamepatwa na aibu,mfalme katoka sasa tunaanza pale tulipo ishia kwa nguvu na ari zaidi. live long mfalme zumaridi.
 
Alikuwa ananyooshwa

Si alijifanya nunda,nabii,mtu wa maajabu

Ova
 
P
Haya mambo ya uonevu uonevu yamezidi sana huyu mama walimkamata na kumbambikizia makesi kibao leo hii ashasota gerezani ndo wanamuachia

Hawajui ni kwa kiasi gani amepata hasara?Hawajui ni kwa kiasi gani mmemuharibia maisha yake?

Tanzania tuna uhuru wa kuabudu kila kitu ana ruhusa ya kuabudu anavyotaka, tatizo ni wivu tu inawezekana kuna vigogo au watu wa kwenye usalama waliokua wanataka pesa zake au kuona anapata fungu kubwa ndo wakaona hawapeww wakaona wambambikizie kesi

Wameshamdhalilisha sana, jee serikali imepata nini?Sijui tunatengeneza taifa gani la uonevu uonetu tu...Huu ni wakati wa yeye kulipwa fidia kwa kudhalilishwa na kusoteshwa magerezani na rumande ilhali hakua na hatia

My take:Wafia dini watakuja kutukana kwenye huu uzi tafadhali pita kushoto
Wewe ulisema mama ameleta neema kuna haki sana siku hizi imekuwaje tena

USSR
 
Ioa ndipo unapogundua wakati.mwingine binadamu ni Mbumbumbu wa kurupwa.Mtu anajiita mungu,lakini kakamatwa kawwkwa mahabusu,mahakama imemhukumu.Alafu kifungo kimeisha.Na kuna watu wanamini ni mungu wao.Du
 
Back
Top Bottom