Bujibuji Simba Nyamaume
JF-Expert Member
- Feb 4, 2009
- 76,107
- 160,001
Kaka mkubwa unamtafuta nini Btoz!?[emoji23]Duh....
Hapana Mfalme Zumaridi aache visingizio sasa. Kama ameshindwa kuongoza kanisa si aseme tu.
Anashindwaje kuwakaripia wapiga vyombo kwa kuongeza sauti hadi inakuwa kero kwa waumini?
Sisi ndio tunatoa sadaka, lakini hatuoni sadaka zetu zinafanya kazi gani.
Yeye kila siku yuko kwenye makanisa mengine kushuhudia ibada za upako na anaacha kanisa lake likiendeshwa kihuni.
Mfalme ana mbwembwe sana.. ukickia wakati anatoa neno.. unaweza kuzan huyundio atatufikisha mbinguni..[emoji1787][emoji1787]Duh....
Hapana Mfalme Zumaridi aache visingizio sasa. Kama ameshindwa kuongoza kanisa si aseme tu.
Anashindwaje kuwakaripia wapiga vyombo kwa kuongeza sauti hadi inakuwa kero kwa waumini?
Sisi ndio tunatoa sadaka, lakini hatuoni sadaka zetu zinafanya kazi gani.
Yeye kila siku yuko kwenye makanisa mengine kushuhudia ibada za upako na anaacha kanisa lake likiendeshwa kihuni.
Sijaelewa huu uzi unamaanisha nini, Mfalme Zumaridi yupo Gerezani karibu mwaka sasa..Duh....
Hapana Mfalme Zumaridi aache visingizio sasa. Kama ameshindwa kuongoza kanisa si aseme tu.
Anashindwaje kuwakaripia wapiga vyombo kwa kuongeza sauti hadi inakuwa kero kwa waumini?
Sisi ndio tunatoa sadaka, lakini hatuoni sadaka zetu zinafanya kazi gani.
Yeye kila siku yuko kwenye makanisa mengine kushuhudia ibada za upako na anaacha kanisa lake likiendeshwa kihuni.
Kwani kashatoka lupango?Duh....

Itoe kwenye kanisa iweke katika picha ya siasa na uongozi wa nchi ya Cuba.Sijaelewa huu uzi unamaanisha nini, Mfalme Zumaridi yupo Gerezani karibu mwaka sasa..
This is only for the bravesItoe kwenye kanisa iweke katika picha ya siasa na uongozi wa nchi ya Cuba.

Rudi masomoni HavanaSijaelewa huu uzi unamaanisha nini, Mfalme Zumaridi yupo Gerezani karibu mwaka sasa..
Lini mawewahi kuongoza kanisa..kanisa linawenyewe tangu kitambo yeye ni mchungaji kivuli tu.Duh....
Hapana Mfalme Zumaridi aache visingizio sasa. Kama ameshindwa kuongoza kanisa si aseme tu.
Anashindwaje kuwakaripia wapiga vyombo kwa kuongeza sauti hadi inakuwa kero kwa waumini?
Sisi ndio tunatoa sadaka, lakini hatuoni sadaka zetu zinafanya kazi gani.
Yeye kila siku yuko kwenye makanisa mengine kushuhudia ibada za upako na anaacha kanisa lake likiendeshwa kihuni.
Na sauti yake ya upole, aiseee.....Mfalme ana mbwembwe sana.. ukickia wakati anatoa neno.. unaweza kuzan huyundio atatufikisha mbinguni..[emoji1787][emoji1787]
Ok, nimekuelewa, nadhani lugha uliyotumia umenipoteza, Kuna wadau naona wamekuelewa.Rudi masomoni Havana
Kwani akipata mwaliko dhambi?Duh....
Hapana Mfalme Zumaridi aache visingizio sasa. Kama ameshindwa kuongoza kanisa si aseme tu.
Anashindwaje kuwakaripia wapiga vyombo kwa kuongeza sauti hadi inakuwa kero kwa waumini?
Sisi ndio tunatoa sadaka, lakini hatuoni sadaka zetu zinafanya kazi gani.
Yeye kila siku yuko kwenye makanisa mengine kushuhudia ibada za upako na anaacha kanisa lake likiendeshwa kihuni.
Basi hicho kivuli chenye kumiliki kanisa kijue wazi, ikifika January hali itakuwa mbaya sanaLini mawewahi kuongoza kanisa..kanisa linawenyewe tangu kitambo yeye ni mchungaji kivuli tu.
Na yeye anatetea tumbo lake hapo halipo kupitia sadaka zenu waumini.
#MaendeleoHayanaChama
Kila mwaliko lazima aende? Si atume Wainjilisti wakamwakilishe?Kwani akipata mwaliko dhambi?
Sasa mimi nawezaje kuwaambia kwaya wapunguze sauti ya vyombo?Tatizo sio yeye ila ni wewe kutojitambua.