Mfalme Zumaridi kama umeshindwa kuongoza kanisa, pisha mchungaji mwingine

Mfalme Zumaridi kama umeshindwa kuongoza kanisa, pisha mchungaji mwingine

Sasa mimi nawezaje kuwaambia kwaya wapunguze sauti ya vyombo?
Kuna kamati za usimamizi lakini ni kama zimelala.
Kamati ya mawasiliano ndio imelala kabisaaaaaa, nasikia ile kwaya nyingine leo imepandisha tena sauti ya muziki wao

Halafu wazee wa kanisa wamepoteana yaani wanapoimba kwaya ya kusifu na kuabudu wanainuka kupiga makofi ikifika muda wa tafakuri ya somo kila mzee anajifanya somo limeeleweka wakati hawakua makini kabisa na somo lenyewe
 
Sasa mimi nawezaje kuwaambia kwaya wapunguze sauti ya vyombo?
Kuna kamati za usimamizi lakini ni kama zimelala.
Kamati ya mawasiliano ndio imelala kabisaaaaaa, nasikia ile kwaya nyingine leo imepandisha tena sauti ya muziki wao
Aisee Buji tangulia Central kwa Pilato kwa mahojiano
 
Kila mwaliko lazima aende? Si atume Wainjilisti wakamwakilishe?
Mbona Moses Kulola alikuwa hataki kusafiri kwenda kwenye makanisa mengine? Mfalme Zumaridi anashindwa nini?
Abaki hapa tufaidi naye mgao wa maji na umeme.
Labda atapata suluhisho ili ibada kanisani zinoge
Moses Kulola [emoji23][emoji23][emoji23]
 
Zumaridi sijui ana tatizo gani tu. Kwa kweli kama waumini tumeparanganyika.
 
Duh....
Hapana Mfalme Zumaridi aache visingizio sasa. Kama ameshindwa kuongoza kanisa si aseme tu.

Anashindwaje kuwakaripia wapiga vyombo kwa kuongeza sauti hadi inakuwa kero kwa waumini?

Sisi ndio tunatoa sadaka, lakini hatuoni sadaka zetu zinafanya kazi gani.

Yeye kila siku yuko kwenye makanisa mengine kushuhudia ibada za upako na anaacha kanisa lake likiendeshwa kihuni.
Na weye ni muumini wake?
 
Kila mwaliko lazima aende? Si atume Wainjilisti wakamwakilishe?
Mbona Moses Kulola alikuwa hataki kusafiri kwenda kwenye makanisa mengine? Mfalme Zumaridi anashindwa nini?
Abaki hapa tufaidi naye mgao wa maji na umeme.
Labda atapata suluhisho ili ibada kanisani zinoge
Mfalme Zumaridi! Yaani umeufanya ubongo wangu uzunguke hadi nasikia kizunguzungu bado sina uhakika kama hii Code nimeielewa. Ila pongezi sana kwako kwa uandishi unaofikirisha [emoji120][emoji120]
 
Dah, hili kanisa linapoelekea sio kabisa
Kuna kanisa lipo hapo upande wa Kaskazini, na mengine mawili tunapakana nayo upande wa kusini, jamani, yaani Biblia zao nzuri sana, Askofu ukizingua unawekwa kushoto mapema kabisaaaaaa.
Biblia zao ziliwaweka pembeni wale maaskofu waasisi wa mataifa hayo
 
Back
Top Bottom