Mfalme Zumaridi kama umeshindwa kuongoza kanisa, pisha mchungaji mwingine

Sasa mimi nawezaje kuwaambia kwaya wapunguze sauti ya vyombo?
Kuna kamati za usimamizi lakini ni kama zimelala.
Kamati ya mawasiliano ndio imelala kabisaaaaaa, nasikia ile kwaya nyingine leo imepandisha tena sauti ya muziki wao
Tcra iko kimya Tigo wakipandisha bei vifurushi
 
Kuna kanisa lipo hapo upande wa Kaskazini, na mengine mawili tunapakana nayo upande wa kusini, jamani, yaani Biblia zao nzuri sana, Askofu ukizingua unawekwa kushoto mapema kabisaaaaaa.
Biblia zao ziliwaweka pembeni wale maaskofu waasisi wa mataifa hayo
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] mpaka hapa nimeshafunguliwa niseme tu Haleluyaaaa
 
Kuna kanisa lipo hapo upande wa Kaskazini, na mengine mawili tunapakana nayo upande wa kusini, jamani, yaani Biblia zao nzuri sana, Askofu ukizingua unawekwa kushoto mapema kabisaaaaaa.
Biblia zao ziliwaweka pembeni wale maaskofu waasisi wa mataifa hayo
Kuna kanisa lipo hapo upande wa Kaskazini, na mengine mawili tunapakana nayo upande wa kusini, jamani, yaani Biblia zao nzuri sana, Askofu ukizingua unawekwa kushoto mapema kabisaaaaaa.
Biblia zao ziliwaweka pembeni wale maaskofu waasisi wa mataifa hayo
Biblia - katiba
Kanisa kaskazini- Kenya 🇰🇪
Makanisa kusini- Malawi 🇲🇼 na 🇿🇲 Zambia
 
Duh....
Hapana Mfalme Zumaridi aache visingizio sasa. Kama ameshindwa kuongoza kanisa si aseme tu.

Anashindwaje kuwakaripia wapiga vyombo kwa kuongeza sauti hadi inakuwa kero kwa waumini?

Sisi ndio tunatoa sadaka, lakini hatuoni sadaka zetu zinafanya kazi gani.

Yeye kila siku yuko kwenye makanisa mengine kushuhudia ibada za upako na anaacha kanisa lake likiendeshwa kihuni.
Tatizo Makerubi.
 
😂😂😂 umeiandika kitalaam sana, kidogo nitoke kapa
 
Back
Top Bottom