Victoire
JF-Expert Member
- Jul 4, 2008
- 24,386
- 57,588
Haikuwahi kuwa Dawasco ?Ni Dawasa.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Haikuwahi kuwa Dawasco ?Ni Dawasa.
Si uhame kanisa bro!
Hukumsikia mpiga vyombo mojawapo alisema kama mnakereka na sauti ya mdundo anapiga uhamie kanisa la jirani.
Haikuwahi kuwa Dawasco ?
Merged.Haikuwahi kuwa Dawasco ?
Umekuja kivingine San mkuuDuh....
Hapana Mfalme Zumaridi aache visingizio sasa. Kama ameshindwa kuongoza kanisa si aseme tu.
Anashindwaje kuwakaripia wapiga vyombo kwa kuongeza sauti hadi inakuwa kero kwa waumini?
Sisi ndio tunatoa sadaka, lakini hatuoni sadaka zetu zinafanya kazi gani.
Yeye kila siku yuko kwenye makanisa mengine kushuhudia ibada za upako na anaacha kanisa lake likiendeshwa kihuni.
Hiyo pesa unayoizungumzia Ni ipi aisee? Utakuwa unaishi Burundi wwHalafu hivi kwa nini matajiri huzaliwa utawala ukiwa wa Muislamu nachek kwa Ruksa, Jakaya na Zumaridi ndio pesa ipoipo alipokuepo mwanajumuiya wa kulola hali tete, nche nkapa tete, mchonga nae ndio balaa kabisa
Nimechekaaa mm [emoji1787][emoji1787][emoji1787] wee mzee eti mungu was mfalme ndie mung wa kweli hatari SanNi kweli ndipo ninapoabudu, Mungu wa Mfalme Zumaridi ndie Mungu wa kweli.
Karibuni tuabudu.
P
Mkuu ungemuacha hvyo hvyo huyo mwana aendelee kuamini kuwa mfalme zumaradi yupo gerezani ,waliosoma Cuba ndio waelewi tu msiwaeleze wacha wabaki na ujinga waoJiongeze mkuu....tunaenda China kwa mwaliko[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Mungu ni mmoja, wafalme wote huwekwa na Mungu, hata huyo aliyepita aliwekwa na Mungu na akaitwa kwa Mungu kupangiwa majukumu mengine ndio tukaletewa huyu wa sasa, ni kazi ya Mungu, na ni chaguo la Mungu.Nimechekaaa mm [emoji1787][emoji1787][emoji1787] wee mzee eti mungu was mfalme ndie mung wa kweli hatari San
Hat mm namwamini mfalme aliiyepita huyu wa Sasa anayumbishwa
😂 😂 😂 ZUMARIDI=MAMADuh....
Hapana Mfalme Zumaridi aache visingizio sasa. Kama ameshindwa kuongoza kanisa si aseme tu.
Anashindwaje kuwakaripia wapiga vyombo kwa kuongeza sauti hadi inakuwa kero kwa waumini?
Sisi ndio tunatoa sadaka, lakini hatuoni sadaka zetu zinafanya kazi gani.
Yeye kila siku yuko kwenye makanisa mengine kushuhudia ibada za upako na anaacha kanisa lake likiendeshwa kihuni.
PIA USISAHAU MIUNGU WAKO WENGIMungu ni mmoja, wafalme wote huwekwa na Mungu, hata huyo aliyepita aliwekwa na Mungu na huyu wa sasa ni kazi ya Mungu!.
P
Kama akili yako ndogo uww unakaa kimya!!Sijaelewa huu uzi unamaanisha nini, Mfalme Zumaridi yupo Gerezani karibu mwaka sasa..
mbona kama wewe ndio unaonekana kuwa na akili ndogo mkuuKama akili yako ndogo uww unakaa kimya!!
Mtukufu😂 😂 😂 ZUMARIDI=MAMA
Mjomba una ugomvi na mama wewe 😂😂Duh....
Hapana Mfalme Zumaridi aache visingizio sasa. Kama ameshindwa kuongoza kanisa si aseme tu.
Anashindwaje kuwakaripia wapiga vyombo kwa kuongeza sauti hadi inakuwa kero kwa waumini?
Sisi ndio tunatoa sadaka, lakini hatuoni sadaka zetu zinafanya kazi gani.
Yeye kila siku yuko kwenye makanisa mengine kushuhudia ibada za upako na anaacha kanisa lake likiendeshwa kihuni.
Duh....