Mfalme Zumaridi kama umeshindwa kuongoza kanisa, pisha mchungaji mwingine

Duh....
Hapana Mfalme Zumaridi aache visingizio sasa. Kama ameshindwa kuongoza kanisa si aseme tu.

Anashindwaje kuwakaripia wapiga vyombo kwa kuongeza sauti hadi inakuwa kero kwa waumini?

Sisi ndio tunatoa sadaka, lakini hatuoni sadaka zetu zinafanya kazi gani.

Yeye kila siku yuko kwenye makanisa mengine kushuhudia ibada za upako na anaacha kanisa lake likiendeshwa kihuni.
Kwani kapata dhamana yupo nje? Mungu chiniyajuwa foolish.
 
Lini mawewahi kuongoza kanisa..kanisa linawenyewe tangu kitambo yeye ni mchungaji kivuli tu.

Na yeye anatetea tumbo lake hapo halipo kupitia sadaka zenu waumini.

#MaendeleoHayanaChama
hahahaha,kwamba kn wazee wa kanisa na MZEE MWENYEWE WA KANISA
 
Duh....
Hapana Mfalme Zumaridi aache visingizio sasa. Kama ameshindwa kuongoza kanisa si aseme tu.

Anashindwaje kuwakaripia wapiga vyombo kwa kuongeza sauti hadi inakuwa kero kwa waumini?

Sisi ndio tunatoa sadaka, lakini hatuoni sadaka zetu zinafanya kazi gani.

Yeye kila siku yuko kwenye makanisa mengine kushuhudia ibada za upako na anaacha kanisa lake likiendeshwa kihuni.
Hahahaha,code moja matata sana hii.mkuu
 
Duh....
Hapana Mfalme Zumaridi aache visingizio sasa. Kama ameshindwa kuongoza kanisa si aseme tu.

Anashindwaje kuwakaripia wapiga vyombo kwa kuongeza sauti hadi inakuwa kero kwa waumini?

Sisi ndio tunatoa sadaka, lakini hatuoni sadaka zetu zinafanya kazi gani.

Yeye kila siku yuko kwenye makanisa mengine kushuhudia ibada za upako na anaacha kanisa lake likiendeshwa kihuni.
Mfalme zumarid kanisa lilisha mshinda ni vile tu ni ngumu ku declare hilo na tatizo kubwa la mfalme zumarudi kanyimwa kauli ya kimamlaka ya kikanisa na pia akiwa kwenye mahubiri ni kama bado haamin kama kanisa lipo chini ya utumishi wake

hivyo hata wazee wake wa kanisa wanamuona kama mshkaji wao tuu wakati yeye ndiye anaye ongoza hilo kanisa na ndiye mwenye upako wa kukemea mapepo na wenye mashetani hapo kanisani

mfalme zumaridi haeleweki kwa sasa tangu ameanza kutoa huduma katika kanisa hilo sasa sijui upako wake umeisha au ndio nguvu za kuchukua nigeria sasa zimeisha au wazee wake wa kanisa wamemzidi nguvu.
 
Duh....
Hapana Mfalme Zumaridi aache visingizio sasa. Kama ameshindwa kuongoza kanisa si aseme tu.

Anashindwaje kuwakaripia wapiga vyombo kwa kuongeza sauti hadi inakuwa kero kwa waumini?

Sisi ndio tunatoa sadaka, lakini hatuoni sadaka zetu zinafanya kazi gani.

Yeye kila siku yuko kwenye makanisa mengine kushuhudia ibada za upako na anaacha kanisa lake likiendeshwa kihuni.
Wiki ijayo anakwenda China. Mtatiju.
 
KAZI tunayo kina Junior(Mchumi namba moja,Nepi,Marope na wengine )kazi ni kutupora tu ....Zumaridi anasema na hili nalo mkaliangalie
 
Attachments

  • FB_IMG_16669472208911510.jpg
    FB_IMG_16669472208911510.jpg
    25.1 KB · Views: 2
Mfumo kristo umewalevya, Mimi ni mkristo tena mkatoliki pure.

Anapotawala Mkristo tena uzuri wote watatu walikuwa wakatoliki na wote wameshakufa huwa mambo ni tofauti na wanaongoza kwa roho mbaya.

Ila akiingia mwislamu na kwa dhati kabisa wameonesha wana utu na ubinadamu lakini mashambulizi ndio hulipuka na waraka mbalimbali za kichungaji hutolewa kwenye awamu hizo.

Kwa damage iliyofanywa na Mkatoliki mwenzetu hii nchi IPO kwenye mikono Salama na iko chini ya Rais sahihi kwa wakati sahihi.

Huu mfumo Kristo ni Sumu unapaswa kupigwa vita na kila anayeipenda nchi hii.
Utu kwa washkaji wao ila jamii kubwa inalia. Ndio maana leo hii unaona watu wa awamu ileee wanarudi kama wote.
 
Back
Top Bottom