Mfalme Zumaridi kama umeshindwa kuongoza kanisa, pisha mchungaji mwingine

Ni kweli ndipo ninapoabudu, Mungu wa Mfalme Zumaridi ndie Mungu wa kweli.
Karibuni tuabudu.
P
Kaka mkubwa nimelipenda sana jawabu lako, dah.... Hili jibu lijengewe mnara, hukuhamaki wala hukakasirika, ukanata na biti.
Kwangu wewe ni miongoni mwa members ambao najifunza kwao vitu vingi.
Aged, wise, intellectual and intelligent
 
Duh....
Hapana Mfalme Zumaridi aache visingizio sasa. Kama ameshindwa kuongoza kanisa si aseme tu.
Mfalme Zumaridi mbona anaongoza kanisa letu vizuri tuu!. Mlitaka afanye nini zaidi ya hiki anachofanya.
Anashindwaje kuwakaripia wapiga vyombo kwa kuongeza sauti hadi inakuwa kero kwa waumini?
Sii kweli, kanisa letu la Mfalme Zumaridi tumezoea sauti kubwa na wala sio kero kwa waumini, ila ni kero kwa wasioamini.
Sisi ndio tunatoa sadaka, lakini hatuoni sadaka zetu zinafanya kazi gani.
Sadaka inatolewa kwa Mungu, waumini watiifu hawapaswi kujiuliza sadaka inafanyia nini, kwasababu Mungu mwenyewe hushuka usiku na kuitwaa sadaka yake.
Yeye kila siku yuko kwenye makanisa mengine kushuhudia ibada za upako na anaacha kanisa lake likiendeshwa kihuni.
Mfalme Zumaridi ni Mfalme wa kimataifa anahubiri mataifa mbalimbali huku kanisa letu likizidi kuimarika.

Acha hizo kaka Ibada inayumba hata yale ya kubatizia yanasumbua na kibatari kinazima kila wakati
 
Nipo na fundi wake hapa anamshonea ya kusafiria kama mbili anabadilisha njiani , na nyingine kumi za kubadilisha , ushenzi mtupu sadaka zetu zinapotea🥲🥲🥲🥲😢😢😢😢😢
 
Acha hizo kaka Ibada inayumba hata yale ya kubatizia yansumbua na kibatari kinazima kila wakati
Sasa we Shemasi au mwalimu wa watoto Sunday school baki kulia tu hakuna namna😢😢😢😢
 
Duh....
Hapana Mfalme Zumaridi aache visingizio sasa. Kama ameshindwa kuongoza kanisa si aseme tu.

Anashindwaje kuwakaripia wapiga vyombo kwa kuongeza sauti hadi inakuwa kero kwa waumini?

Sisi ndio tunatoa sadaka, lakini hatuoni sadaka zetu zinafanya kazi gani.

Yeye kila siku yuko kwenye makanisa mengine kushuhudia ibada za upako na anaacha kanisa lake likiendeshwa kihuni.
Muweka hazina wa kanisa alishasema kama hatuuwezi muziki wa kanisa hili basi tuhamie kanisa jirani

Hapa tunahitaji tu biblia mpya

Vinginevyo wasiweke ugumu kutoa vyeti vya uhamiaji ili wengine wafanye mpango wa kuhamia kwenye makanisa mengine yanayojali waumini wa kila aina
 
Back
Top Bottom