baby success
JF-Expert Member
- Jul 14, 2022
- 548
- 1,799
Achaneni na zumaridi muongee vzr na mmewe ndio anamcontrol mkewe zuu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kulola stone macho nduuu[emoji849],,si alisema tutamkumbuka!!Yote kwa yote ni heri zumaridi kuliko kulola....kuna waumini tuna furaha tu, pamoja na yote
Bangi si starehe ni dawa, ukiivuta kwa starehe inakuwa ni dawa ya kulevya.Anao kibao na minguo yao ya kijani, jingalao, Pascal Mayalla, johnthebaptist Bia yetu, FaizaFoxy na mijitu kibao ndio mifuasi
Huhitaji cheti chochote kutoka kanisa moja kuhamia kanisa jingine lolote la jirani, wewe ni kwenda tuu, ukifika unajitambulisha tuu na kushiriki ibada.Muweka hazina wa kanisa alishasema kama hatuuwezi muziki wa kanisa hili basi tuhamie kanisa jirani
Hapa tunahitaji tu biblia mpya
Vinginevyo wasiweke ugumu kutoa vyeti vya uhamiaji ili wengine wafanye mpango wa kuhamia kwenye makanisa mengine yanayojali waumini wa kila aina
Braza brazaHuhitaji cheti chochote kutoka kanisa moja kuhamia kanisa jingine lolote la jirani, wewe ni kwenda tuu, ukifika unajitambulisha tuu na kushiriki ibada.
P
Mfano mimi mwenzenu nimeisha hamia kwenye kanisa la jirani na napiga ibada kama kawa!.Braza braza
Bado uko Kurunzinza mkuu?Mfano mimi mwenzenu nimeisha hamia kwenye kanisa la jirani na napiga ibada kama kawa!.
P
Wakristo mna chokochoko sana, mmeshazoea mfumo kristo na utawala wa Kikatili ndio roho zenu kwatu kabisa.Duh....
Hapana Mfalme Zumaridi aache visingizio sasa. Kama ameshindwa kuongoza kanisa si aseme tu.
Anashindwaje kuwakaripia wapiga vyombo kwa kuongeza sauti hadi inakuwa kero kwa waumini?
Sisi ndio tunatoa sadaka, lakini hatuoni sadaka zetu zinafanya kazi gani.
Yeye kila siku yuko kwenye makanisa mengine kushuhudia ibada za upako na anaacha kanisa lake likiendeshwa kihuni.
Unishindi Mimi, tupambane kwa nguvu zote na mfumo kristo, inahitajika uwe mtu mzima kuelewa hili hata ukiwa mkristo unatakiwa kuupinga kwa nguvu zote mfumo kristo, ni mfumo wa kishenzi kabisa usiojali utu wa watu.Yote kwa yote ni heri zumaridi kuliko kulola....kuna waumini tuna furaha tu, pamoja na yote
Matola, huu uzi umeandikwa na @bujibuji au umeàndikwa na Wakristo?Wakristo mna chokochoko sana, mmeshazoea mfumo kristo na utawala wa Kikatili ndio roho zenu kwatu kabisa.
Naona hapa tatizo ni dini yake, angeitwa Elizabeth kila siku mko naye parokiani ndio mngejisikia raha mustarehe.
Kanisa litabaki halina kondoo hata mmoja, wao wenyewe wanalijua hiloMuweka hazina wa kanisa alishasema kama hatuuwezi muziki wa kanisa hili basi tuhamie kanisa jirani
Hapa tunahitaji tu biblia mpya
Vinginevyo wasiweke ugumu kutoa vyeti vya uhamiaji ili wengine wafanye mpango wa kuhamia kwenye makanisa mengine yanayojali waumini wa kila aina
Unishindi Mimi, tupambane kwa nguvu zote na mfumo kristo, inahitajika uwe mtu mzima kuelewa hili hata ukiwa mkristo unatakiwa kuupinga kwa nguvu zote mfumo kristo, ni mfumo wa kishenzi kabisa usiojali utu wa watu.
Umenena vyema ndugu shemasi.Mfalme Zumaridi mbona anaongoza kanisa letu vizuri tuu!. Mlitaka afanye nini zaidi ya hiki anachofanya.
Sii kweli, kanisa letu la Mfalme Zumaridi tumezoea sauti kubwa na wala sio kero kwa waumini, ila ni kero kwa wasioamini.
Sadaka inatolewa kwa Mungu, waumini watiifu hawapaswi kujiuliza sadaka inafanyia nini, kwasababu Mungu mwenyewe hushuka usiku na kuitwaa sadaka yake.
Mfalme Zumaridi ni Mfalme wa kimataifa anahubiri mataifa mbalimbali huku kanisa letu likizidi kuimarika.
P
Mfumo kristo umewalevya, Mimi ni mkristo tena mkatoliki pure.Matola, huu uzi umeandikwa na @bujibuji au umeàndikwa na Wakristo?
Kwa ule ukatili lazima tumkumbuke kwakweliKulola stone macho nduuu[emoji849],,si alisema tutamkumbuka!!
Kama ambavyo nanyie mlikua kwenye kitengo cha kutupa watu nje ya kabisa kisa tu hawakuimba mapambioSababu mpo kwenye kitengo cha kuhesabu sadaka na kuratibu misaada ya wafadhili wa kanisa. Sisi tunazungumzia waumini wote kwa ujumla.
Vp kama ndo mkataba wao unavosema? "Tutamtoa sadaka mfalme aliepo, afu we tutakukabidhi kiti kwa masharti nafuu ya kutokaa kanisani kwako ili sisi wahuni tuongoze kanisa "Duh....
Hapana Mfalme Zumaridi aache visingizio sasa. Kama ameshindwa kuongoza kanisa si aseme tu.
Anashindwaje kuwakaripia wapiga vyombo kwa kuongeza sauti hadi inakuwa kero kwa waumini?
Sisi ndio tunatoa sadaka, lakini hatuoni sadaka zetu zinafanya kazi gani.
Yeye kila siku yuko kwenye makanisa mengine kushuhudia ibada za upako na anaacha kanisa lake likiendeshwa kihuni.
Kwahiyo unambeba mgongoni mmachinga halafu unamchinja tajiri teh tehMchungaji Yohana.. alikuwa na matatizo yake.. ila mchungaji yohana alikuwa hapend watu wa chini kuumia..
Ila huyu zamaradi mhhhh...
Kungu azidi kumuweka Tundu LissuKulola alikuwa mbabe sana, asiye na utu