mawardat
JF-Expert Member
- Apr 27, 2021
- 23,965
- 131,949
Sana watu wameangamia kwaajili yake,Kwa ule ukatili lazima tumkumbuke kwakweli
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sana watu wameangamia kwaajili yake,Kwa ule ukatili lazima tumkumbuke kwakweli
Sawa sawa, unaonaje tukienda kuoga maji ya mto Jordan?Mimi nipo hapa hapa kwa Mpalange napambana na Dawasco.
Duh....
Hapana Mfalme Zumaridi aache visingizio sasa. Kama ameshindwa kuongoza kanisa si aseme tu.
Anashindwaje kuwakaripia wapiga vyombo kwa kuongeza sauti hadi inakuwa kero kwa waumini?
Sisi ndio tunatoa sadaka, lakini hatuoni sadaka zetu zinafanya kazi gani.
Yeye kila siku yuko kwenye makanisa mengine kushuhudia ibada za upako na anaacha kanisa lake likiendeshwa kihuni.
Jiongeze, mfalme wa wafalme.Sijaelewa huu uzi unamaanisha nini, Mfalme Zumaridi yupo Gerezani karibu mwaka sasa..
Ni kweli yupo Gerezani kifungo cha nje, ndio maana wapiga vyombo wanajipigia watakavyo, Hali imekuwa kero kwa waumini japo kuwa ndio wanatoa sadaka,Sijaelewa huu uzi unamaanisha nini, Mfalme Zumaridi yupo Gerezani karibu mwaka sasa..
Taratiiiibu watu wanaanza kumwelewa Moses Kulila! R.I.PKila mwaliko lazima aende? Si atume Wainjilisti wakamwakilishe?
Mbona Moses Kulola alikuwa hataki kusafiri kwenda kwenye makanisa mengine? Mfalme Zumaridi anashindwa nini?
Abaki hapa tufaidi naye mgao wa maji na umeme.
Labda atapata suluhisho ili ibada kanisani zinoge
Mfumo kristo umewalevya, Mimi ni mkristo tena mkatoliki pure.
Anapotawala Mkristo tena uzuri wote watatu walikuwa wakatoliki na wote wameshakufa huwa mambo ni tofauti na wanaongoza kwa roho mbaya.
Ila akiingia mwislamu na kwa dhati kabisa wameonesha wana utu na ubinadamu lakini mashambulizi ndio hulipuka na waraka mbalimbali za kichungaji hutolewa kwenye awamu hizo.
Kwa damage iliyofanywa na Mkatoliki mwenzetu hii nchi IPO kwenye mikono Salama na iko chini ya Rais sahihi kwa wakati sahihi.
Huu mfumo Kristo ni Sumu unapaswa kupigwa vita na kila anayeipenda nchi hii.
FasihiDuh....
Hapana Mfalme Zumaridi aache visingizio sasa. Kama ameshindwa kuongoza kanisa si aseme tu.
Anashindwaje kuwakaripia wapiga vyombo kwa kuongeza sauti hadi inakuwa kero kwa waumini?
Sisi ndio tunatoa sadaka, lakini hatuoni sadaka zetu zinafanya kazi gani.
Yeye kila siku yuko kwenye makanisa mengine kushuhudia ibada za upako na anaacha kanisa lake likiendeshwa kihuni.
Viongozi Wakristo wana roho mbaya na ni wabinafsi.Halafu hivi kwa nini matajiri huzaliwa utawala ukiwa wa Muislamu nachek kwa Ruksa, Jakaya na Zumaridi ndio pesa ipoipo alipokuepo mwanajumuiya wa kulola hali tete, nche nkapa tete, mchonga nae ndio balaa kabisa
Ni Dawasa.Mimi nipo hapa hapa kwa Mpalange napambana na Dawasco.
Si wote,, actually upbringing nayo huchangia,, hasa kwa tuliozaliwa bush country,, ushamba mwingi sanaViongozi Wakristo wana roho mbaya na ni wabinafsi.
Basi hicho kivuli chenye kumiliki kanisa kijue wazi, ikifika January hali itakuwa mbaya sana
Na wengi wamepona mfano kibiti, wagonjwa hospitalini, tanga, mwanzaSana watu wameangamia kwaajili yake,
Napenda sana aina hii ya uandishi mie!Duh....
Hapana Mfalme Zumaridi aache visingizio sasa. Kama ameshindwa kuongoza kanisa si aseme tu.
Anashindwaje kuwakaripia wapiga vyombo kwa kuongeza sauti hadi inakuwa kero kwa waumini?
Sisi ndio tunatoa sadaka, lakini hatuoni sadaka zetu zinafanya kazi gani.
Yeye kila siku yuko kwenye makanisa mengine kushuhudia ibada za upako na anaacha kanisa lake likiendeshwa kihuni.
You are the super geniusDuh....

Napenda sana aina hii ya uandishi mie!
Hizi mbinu walizitumia wazee wa zamani kutoa ujumbe bila kumkera mhabarishwaji.
Unaanza kupigwa hadithi za mbali: "kakaenda kakarudi" na matusi kibao.
Ukija kuipima context unajua kabisa anayesemwa hapo ni wewe, lakini unabakia tu kumezea, uteme ama umeze ni hiyari yako!
Huyu zumaridi huyu nyie, hivi alimaanisha nini kuwarejesha wachungaji waliofukuzwa kwa uzinzi hapo kanisani kwake?
Alitaka kutudhihirishia nini sisi waumini?
Kwamba mtangulizi wake alikuwa katili sana kushindwa kuwasamehe ama?
Ona sasa wanavyozidi kutafuna kondoo zake bila ya hiyana mchana kweupe!
Akiwauliza...." ni kweli yanayosemwa na waumini ?"
Utasikia majibu ya kishenzi toka kwa hao wachungaji mbwa: "uongo huo si kweli, mwenye ushahidi na aulete"!
Utakuta kimyaaaaaa hachukui hatua yoyote hata ile ya kuutafuta ukweli, imekwisha hiyo na maisha yanaendelea!
Jamani nyie huyu Zumaridi huyu!
Si wote,, actually upbringing nayo huchangia,, hasa kwa tuliozaliwa bush country,, ushamba mwingi sana
Msoga ni mjini? Mkuranga ni mjini? Lupaso ni mjini? Ni kiongozi gani nchi hii amekulia mjini?Kweli viongozi waliozaliwa vijijini ushamba, roho mbaya, yaani hawana utu kabisa mambo ya vijijini wanataka kuyatumia na mjini