Mfalme Zumaridi kama umeshindwa kuongoza kanisa, pisha mchungaji mwingine

Mfalme Zumaridi kama umeshindwa kuongoza kanisa, pisha mchungaji mwingine

Kila mwaliko lazima aende? Si atume Wainjilisti wakamwakilishe?
Mbona Moses Kulola alikuwa hataki kusafiri kwenda kwenye makanisa mengine? Mfalme Zumaridi anashindwa nini?
Abaki hapa tufaidi naye mgao wa maji na umeme.
Labda atapata suluhisho ili ibada kanisani zinoge
Tatizo ni mashemasi.
Mbona mfalme le King Zumari(d) yupo vyedi tu?

Ameona waumini badala ya kusali mnapiga mayowe, jeshi la makerubi mnazingua🤣🤣🤣

anaenda kupeleka shuhuda kwa mitume na manabii huko🤣
 
Kabisa limekauka hata maji hakuna tuko gizani hakuna nuru na sadaka tunatoa
Natafuta kanisa lenye upako uyu zumaridi anapendelea wafuasi wa kijani tu
Kama kuna kanisa la upako basi nijiunge nalo nipate neema
 
Zumaridi kila siku yupo safarini.

Kanisani maji ya kuoshana miguu tunayapata kwa ratiba sasa.
 
Duh....
Hapana Mfalme Zumaridi aache visingizio sasa. Kama ameshindwa kuongoza kanisa si aseme tu.

Anashindwaje kuwakaripia wapiga vyombo kwa kuongeza sauti hadi inakuwa kero kwa waumini?

Sisi ndio tunatoa sadaka, lakini hatuoni sadaka zetu zinafanya kazi gani.

Yeye kila siku yuko kwenye makanisa mengine kushuhudia ibada za upako na anaacha kanisa lake likiendeshwa kihuni.
Aiseee hii ndio maana halisi ya fasihi.
 
Siku hizi mashemasi wanasingizia kila kitu kwamba kimesababishwa na mgogoro wa yale makanisa mawili ya wenzetu kule duniani
 
Mchungaji Yohana.. alikuwa na matatizo yake.. ila mchungaji yohana alikuwa hapend watu wa chini kuumia..

Ila huyu zamaradi mhhhh...
Tulidhani Moses Kulola hakutaka watu tuwe na hela, sasa awamu hii ya Zumaridi hela hakuna na vitu vinapanda bei kiholela, yee wala hajali
 
Back
Top Bottom