Mfalme Zumaridi kama umeshindwa kuongoza kanisa, pisha mchungaji mwingine

tunamtafuta askofu aliyempaka mafuta,baada ya kuhani musa kuishia njiani! spana ziendelee!
 
Hakuna kuhama, waumini wameamua kukomaa na kanisa lao.
Si uhame kanisa bro!
Hukumsikia mpiga vyombo mojawapo alisema kama mnakereka na sauti ya mdundo anapiga uhamie kanisa la jirani.
 
Umetusaidia wengi nimegundua ukiingia kichwa kichwa jf utaishia kuaibika.
 
Umekuja kivingine San mkuu
 
Halafu hivi kwa nini matajiri huzaliwa utawala ukiwa wa Muislamu nachek kwa Ruksa, Jakaya na Zumaridi ndio pesa ipoipo alipokuepo mwanajumuiya wa kulola hali tete, nche nkapa tete, mchonga nae ndio balaa kabisa
Hiyo pesa unayoizungumzia Ni ipi aisee? Utakuwa unaishi Burundi ww
 
Ni kweli ndipo ninapoabudu, Mungu wa Mfalme Zumaridi ndie Mungu wa kweli.
Karibuni tuabudu.
P
Nimechekaaa mm [emoji1787][emoji1787][emoji1787] wee mzee eti mungu was mfalme ndie mung wa kweli hatari San

Hat mm namwamini mfalme aliiyepita huyu wa Sasa anayumbishwa
 
Jiongeze mkuu....tunaenda China kwa mwaliko[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Mkuu ungemuacha hvyo hvyo huyo mwana aendelee kuamini kuwa mfalme zumaradi yupo gerezani ,waliosoma Cuba ndio waelewi tu msiwaeleze wacha wabaki na ujinga wao
 
Nimechekaaa mm [emoji1787][emoji1787][emoji1787] wee mzee eti mungu was mfalme ndie mung wa kweli hatari San

Hat mm namwamini mfalme aliiyepita huyu wa Sasa anayumbishwa
Mungu ni mmoja, wafalme wote huwekwa na Mungu, hata huyo aliyepita aliwekwa na Mungu na akaitwa kwa Mungu kupangiwa majukumu mengine ndio tukaletewa huyu wa sasa, ni kazi ya Mungu, na ni chaguo la Mungu.

P
 
Mzee Bujibuji Simba Nyamaume mfalme zumaradi Yuko live anatutangazia umma kuwa HV sas anaongoza wahumini wapatao Milion 60 ++++ na hakuna kidume wa kumwambia lolote mbele ya wahumini Hawa .mfalme wa michongo han pressure yoyote na Wala hakwaziki kwa Hali mbaya ya wahumini wake

Kwanza amewakalisha juani wahumi wake tokea saa kumi 12 asbh Hadi sas hakn muhumini aliyetaka kujaribu kutoka Ni ukiingia Ni ndani Hadi mwisho
 
πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ ZUMARIDI=MAMA
 
Mjomba una ugomvi na mama wewe πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…