Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
...Tatizo wakiona tu kifaa cheupe, hawa Ndugu zetu wanachanyikiwa !![emoji23][emoji23][emoji23]Hahaahaa vituko havitaisha duniani daa , yaani hiyo pisi ndo ina mambo hivyo na ushawishi wa kuteka akili za nyumbu 2000 halafu tena mwanza hivi wasukuma wa hapo mjini mnakwama wapi? Kuna ile pisi inaitwa zumaridi malkia wa nini sijui nayo inatoka hukohuko mwanza daaa
Mabaharia wa huko kazi kwenu kuleni kimasihara huyo,tena sugua kweli kweli aache ujinga mbona dawa yao ndogo hao viumbe aaaghhhhh mnatuaibisha bwana!
Nadanganya wadau?
Ila ana tracle hatariSamahani huyo mungu mtu ameolewa?
Wizunza Ukenyenge Utemini hizo ni anga zangu nilipokuwa SHYBUSH...salimia wote hukoHuyu dada ni mwenyeji na mzaliwa wa maganzo hapa mkoani shinyanga.ni jirani yetu kbs.lkn haya anayoyafanya anajua yeye na alie mtuma.
Sent using Jamii Forums mobile app
Sasa iv kahamia mkolani kama sikozeiHuyu mama nilishawahi kumsikia....kanisa lake linapatikana mitaa ya Iseni (Mwanza)...ni mshirikina
Anatisha kama jini
Mnaposoma vitabu vya dini huwa mna wekewa picha?Kapicha tafadhali, unajua raha ya kula ugali uwe na pilipili kichaa mkononi...
Sent using Jamii Forums mobile app
Mungu huwa anakata gogo?wanamuita mungu zumaridi.............ni mjanja mjanjaa tu, maana ukiwakuta wafuwasi wake ndo utajua amewashika. kuna gari ya mtumishi wake imeandikwa zumaridi ni mungu