Mfalme Zumaridi, Mama huyu ni nani na kwanini Serikali imemuacha tu?

Mfalme Zumaridi, Mama huyu ni nani na kwanini Serikali imemuacha tu?

Umrulizwa?
Wafuasi wa wafanya maigizo mnajua kujizoom
Hakuna siku nitarudi kisali kanisan katoriki ni bora nisiende kusali maana siwezi kwenda kumuabudu shetani live na akili zangu ,Kusali njia ya mslaba(wakati wa kwalesima),Rosali takatifu. Sitarudi never ever
 
Hahaha umenichelesha, kwa hiyo wanamuita baba bado kidogo watamuita mume
Nimeshangaa sana kuona mwanamke anajiita mfalme alafu nikaona kuna mama mmoja anatoa ushuhuda akawa anamuita mwanamke mwenzake baba.. yani kutoka kwenye ufalme mpaka ubaba.
 
Zumaridi
Alikuwa anapika msosi, yaani Luch siku mojamoja pale Madhabahuni pake.
Na Mara ya Mwisho aliahidi kufanya sherehe ya kuchinja N'gombe 20 na mchele junia kibao.
Kwa ofa Kama hizo atakosaje wafuasi ?
Wale waliokuwa wanamsujudia walikuwa wanakula Mwekundu kwa sujudu moja, na anawanunulia uniform nzuri wengine za Suti Kali.
Sasa atakosaje wapambe hata Ingekuwa huko Bongo Daresalama. Tena huko angepata nyomi ya kufa mtu mzima.
Lawama zote zinaenda kwa kanisa la TAG.
Kwa kumpatia kibali Chao cha kuendesha Ibada za Kanisa la Kristo bila ya kumhakiki.
Sasa hivi Kanisa linashambuliwa kwa juhudi kubwa ili kulidhohofisha maana ndio nguzo pekee ya Mungu iliyosimama.
Kila kukicha unasikia neno Kanisa pekee linazidi Kuongeza majengo, lakini linafichwa Jina la mwisho. Kumbe Sasa Kuna
Satanic churches
Luciferian churches
Mormonic churches
Rastafarian churches
Massonic churches
Lesbian churches
Sodom churches
NK.
Kila kukicha Ni churches churches, matokeo yake yana onekana yote Ni ya Kikristo kumbe sio.
Lakini watu wanashindwa kujiuliza ni lini
Yesu Kristo mwenye Kanisa lake aliagiza
Kuozesha Mashoga Kanisani?
Kuwa na Mapadre Mashoga ?
Kufanya Kama Mfalme Zumaridi.?
Kulawiti watoto Kanisani?
Kuwalisha waumini Nyoka na majani nk ?
Haya Mambo sio ya Kanisa la Kristo lakini yana Nembo ya Kanisa.
Sasa hivi vilinge vya ushirikina vina tumia Nembo ya Kanisa.
Havitaki jengo lingine Bali Kanisa Kanisa Kanisa.
Kwakuwa tu
Kanisa ndilo jengo pekee lililobaki limesimama.
Ukianzisha jengo uliite sijui Hekalu au madhabahu au sinagogi au Loji, watu na miungu hawata liunga mkono.
Dawa ni kuandika neno moja tu KANISA.
Kanisa.
 
Ukimpinga huyu kwa sababu hukubaliani na imani yake, wafuasi wake nao wakipinga dini yako kwa sababu hawakubaliani nayo utakubali?
 
Sidhani kama ni sahihi kuwalaumu TAG, hii inshu ni deep sana, si vema kumlaumu mtu katika hili. Hizi ndio nyakati zenyewe zilizonenwa ila zinapita na tunajifanya hatuzioni. Mungu aturehemu sana, muhimu ni tusiache kuliombea Kanisa la Mungu aliye hai. Maana no matter what haya ya Akina zumalidi and the like yataendelea kutokea.

Ni kweli mkuu. Mungu atusaidie sana kutuelekeza wapi panakweli.! Mie najiulizaga kwanini mambo kama haya yanatokea kama yapo kinyume naye kwanini aruhusu watu wake waangamie kama anatupenda kweli? Ilipaswa unapotokea ujinga au upotoshaji wowote juu yake angewawajibisha ili watu wamheshimu lakini Mungu anaangalia tu [emoji849][emoji849][emoji849][emoji849]
Ache Mungu aitwe Mungu huwezi kumfundisha kazi!
 
Sidhani kama ni sahihi kuwalaumu TAG, hii inshu ni deep sana, si vema kumlaumu mtu katika hili. Hizi ndio nyakati zenyewe zilizonenwa ila zinapita na tunajifanya hatuzioni. Mungu aturehemu sana, muhimu ni tusiache kuliombea Kanisa la Mungu aliye hai. Maana no matter what haya ya Akina zumalidi and the like yataendelea kutokea.
TAG wamejijengea heshima ya kuhubiri Injiri kwa miaka mingi Sana.
Haikuwa sahihi Kumpa MTU kibali Chao na kuacha kumfuatilia anachokifanya katika Ibada zake.
Zumaridi alikuwa anaiwakilisha TAG na ilikuwa Kama ni tawi lao.
Zumaridi hata Biblia alikuwa haitumii kabisa.
Zaidi alikuwa anamdhihaki hata Yesu kwa kusema amepitwa na wakati.
Hapo Kuna Kiongozi wa TAG alichukua rushwa na kushindwa kumfuatilia.
Serikali imemwagiza Msajiri afuatilie hiyo kashfa ya TAG na Zumaridi.
Kwa Mambo Kama haya TAG itajipotezea heshima na uaminifu uliojengwa kwa muda mrefu.
Unampaje MTU kibali kwa udhamini wako bila kumfuatilia ?
Huyo Zumaridi alisomea wapi kazi ya Uchungaji ?
Hapa TAG lazima watoe majibu ya Kuridhisha.
 
. Mungu wa mbinguni hadhiakiwi, tayari kiburi chake kimeshashushwa mavumbini, kuna taarifa kuwa amekata ringi tayari.
 
Kwa mara ya kwanza nimeona video yake moja YouTube leo ndio nika search kujua zaidi, Mungu awahurumie sana maana hata hatumii akili nyingi kuwapotosha, na yeye anajiita mungu/mfalme etc.

Halafu waumini wake wanatoa ushuhuda na kukiri kuwa wamesema uongo!! ( eg niliitwa nikawaambia sina nauli na nauli nilikuwa nayo kwa vile nilikua sitaki kwenda!! Mwingine akasema nilisema mganga ndio aliyeniponya lakini nilikuja kwa mfalme zumaridi akaniponya) Biblia inasema shetani ni baba wa uongo!

That woman is a witch in a high different level, if she do not change she will have a very special place in hell.
Kunatetesi kuwa amefariki....
 
Jamani nawasalimia wote kwa kila mtu Na imani yake.

Kule jijini Mwanza kumeibuka mwanamama mmoja anajiita Mfalme Zumaridi na ana kanisa au sijui niseme nini, maeneo ya Nyegezi.

Yeye haamini ktk Biblia au Quran yaani ni shidaa. Na Ana watu wengi kinoma Na wafuasi wake wanamsujudu na mpaka wengine wamekua Na alama Kama ya sigda.

Ukifuatilia clips zake utashangaa ya ni upinga Kristo tupu. Wakazi wa Mwanza na waTz wote tuwe makini na huyu mtu.

Pia tazama hii:

SOMA PIA: Mchungaji 'Mfalme Zumaridi' adai kuwasiliana na Kanumba, Mama yake azungumza - JamiiForums

Uyu Shangingi apo kati kama amepajaza jaza na Chupi za kichina au ni macho yangu wananzengo
 
Kuna dada mmoja anafanya kazi uhamiaji hapo Mwanza, keshafanywa zuzu hadi amejitwika majukumu ya kulipia bill ya maji na umeme unaotumika kanisani na nyumbani kwa huyo anaejiita mungu wa zumaridi........lakini cha kushangaza eti ana mimba, sasa mungu anabeba mimba!!!!

Sent using Jamii Forums mobile app
Mfalme ana mimba???[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Back
Top Bottom