Zumaridi
Alikuwa anapika msosi, yaani Luch siku mojamoja pale Madhabahuni pake.
Na Mara ya Mwisho aliahidi kufanya sherehe ya kuchinja N'gombe 20 na mchele junia kibao.
Kwa ofa Kama hizo atakosaje wafuasi ?
Wale waliokuwa wanamsujudia walikuwa wanakula Mwekundu kwa sujudu moja, na anawanunulia uniform nzuri wengine za Suti Kali.
Sasa atakosaje wapambe hata Ingekuwa huko Bongo Daresalama. Tena huko angepata nyomi ya kufa mtu mzima.
Lawama zote zinaenda kwa kanisa la TAG.
Kwa kumpatia kibali Chao cha kuendesha Ibada za Kanisa la Kristo bila ya kumhakiki.
Sasa hivi Kanisa linashambuliwa kwa juhudi kubwa ili kulidhohofisha maana ndio nguzo pekee ya Mungu iliyosimama.
Kila kukicha unasikia neno Kanisa pekee linazidi Kuongeza majengo, lakini linafichwa Jina la mwisho. Kumbe Sasa Kuna
Satanic churches
Luciferian churches
Mormonic churches
Rastafarian churches
Massonic churches
Lesbian churches
Sodom churches
NK.
Kila kukicha Ni churches churches, matokeo yake yana onekana yote Ni ya Kikristo kumbe sio.
Lakini watu wanashindwa kujiuliza ni lini
Yesu Kristo mwenye Kanisa lake aliagiza
Kuozesha Mashoga Kanisani?
Kuwa na Mapadre Mashoga ?
Kufanya Kama Mfalme Zumaridi.?
Kulawiti watoto Kanisani?
Kuwalisha waumini Nyoka na majani nk ?
Haya Mambo sio ya Kanisa la Kristo lakini yana Nembo ya Kanisa.
Sasa hivi vilinge vya ushirikina vina tumia Nembo ya Kanisa.
Havitaki jengo lingine Bali Kanisa Kanisa Kanisa.
Kwakuwa tu
Kanisa ndilo jengo pekee lililobaki limesimama.
Ukianzisha jengo uliite sijui Hekalu au madhabahu au sinagogi au Loji, watu na miungu hawata liunga mkono.
Dawa ni kuandika neno moja tu KANISA.
Kanisa.