Mfalme Zumaridi, Mama huyu ni nani na kwanini Serikali imemuacha tu?

Mfalme Zumaridi, Mama huyu ni nani na kwanini Serikali imemuacha tu?

Mpigaji tapeli kama manabii na mitume feki wengine... Alimtumia vizuri sana mama Kanumba akimuaminisha kuwa atamfufua mwanae kwamba hajafa na kuna mahali kafichwa.

Akamtumia na tiketi ya ndege aende Mwanza kushuhudia mwanawe akirudishwa duniani.... KANUMBA KAFA KAMA WENGINE HATAKAA AFUFUKE

Jr
 
Kwanza umetumia vigezo gani kuita mrembo!!!,mama mtu mzima huyo anajichubua makeup ya njano kama binzari mikono myeusii.

Halafu hata hao samaki aliowazoa na kuwa wafusi wake sijui wana akili gani??hivi majitu yakoje lakini[emoji35][emoji35][emoji35].hapa ndio huwa naona kweli shetani kazi yake ni nyepesi mno.
 
Aman iwe juu yenu

Mambo yasiwe na mengi yasiwe mambo msemo wa member wa JF

Kuna mfalme mmoja anaitwa Zumalidi huyu mfalme anaongea kiswahili lakini alitua Mwanza airport sijui alikuwa akitokea wapi

Kilichonisikitisha na kufanya nimuulizie ni kuwa huyu mfalme anasudujiwa kama Mungu , na ana wafuasi wa kutosha

Sasa naomba kujua huyu mama ni nani?

Hizo picha hapo chini ni wakati akiwa Mwanza akisudujiwa na wafuasi wake

Screenshot_20190215-154338.jpeg
Screenshot_20190215-154237.jpeg
Screenshot_20190215-154425.jpeg
Screenshot_20190215-154404.jpeg
Screenshot_20190215-154347.jpeg
Screenshot_20190215-154448.jpeg
 
Huyu dada ni mwenyeji na mzaliwa wa maganzo hapa mkoani shinyanga.ni jirani yetu kbs.lkn haya anayoyafanya anajua yeye na alie mtuma.

Sent using Jamii Forums mobile app
Naomba unipe historia yake kwa ufupi
Kazaliwa mwaka gani
Shule alizosoma
Tabia yake kwa ujumla
Mahusiano yake na wengine
Mahusiano yake ya kimapenzi
Uwezo wa uchumi wa nyumbani kwake
 
Back
Top Bottom