Daudi Mchambuzi
JF-Expert Member
- Nov 25, 2010
- 62,197
- 128,160
wacha jamaa apige pesa yake safi kabisa na watoto wazuri pia, mjini mipango.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Duh, mawazo yako yamekufikisha hapo tena..!
Huu ndio utumwa sasa!! hakuna wa kuwatoa huku utumwani jamani ,wenye mamlaka mpooo?Habari kutoka kanda ya ziwa kutoka Kanisa la huyu mama Nabii Zumaridi lililopo Mkuyuni mkoani Mwanza
Inaelezwa kwamba Nabii Zumaridi ameamua kuchukua mamlaka ya Mungu chini ya jua, kwamba anajiita Mungu, hali hiyo iliyopelekea kufikia hatua kwa Waumini wake pamoja na wafuasi wake kumwabudu, kumtukuza na kumsujudia.
Anavyofanya huyu mama si sawa kabisa, ifike mahala Serikali ichukue hatua kwa mambo kama haya ya upotoshaji huu.
Na kwanini wahanga wengi wa mambo kama haya ni wanawake..!
View attachment 1053739
Hii si sawa.Habari kutoka kanda ya ziwa kutoka Kanisa la huyu mama Nabii Zumaridi lililopo Mkuyuni mkoani Mwanza
Inaelezwa kwamba Nabii Zumaridi ameamua kuchukua mamlaka ya Mungu chini ya jua, kwamba anajiita Mungu, hali hiyo iliyopelekea kufikia hatua kwa Waumini wake pamoja na wafuasi wake kumwabudu, kumtukuza na kumsujudia.
Anavyofanya huyu mama si sawa kabisa, ifike mahala Serikali ichukue hatua kwa mambo kama haya ya upotoshaji huu.
Na kwanini wahanga wengi wa mambo kama haya ni wanawake..!
View attachment 1053739
Nimeona hii habari nikaamua niingie mwenyewe YouTube nijionee, duu kwa nilichokiona hapana.Du ndg yangu umenikumbusha kisa kimoja ,kuna shemeji yangu alikuwa anasari kanisani kwake basi siku moja akaja nyumbani kwangu huyo shemeji akamchukua binti yangu mwenye miaka 16 akawa anaenda naye kanisani kwa zumaridi weee wiki mbili tu binti akawa anaanguka et mapepo ya zumaridi ndg zangu nilipiga marufuku mara moja kwenda kwenye kanisa lake ,toka siku hiyo binti hajawahi kuanguka kisa mapepo,namuogopa sana yule mama,
na hapa sio Airport ya mwanza hiiHabari kutoka kanda ya ziwa kutoka Kanisa la huyu mama Nabii Zumaridi lililopo Mkuyuni mkoani Mwanza