Laki Si Pesa
JF-Expert Member
- Dec 20, 2018
- 5,085
- 9,022
safi sana mfalme
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwa hiyo hakuna anayeweza kutoa historia ya Zamarudi? Isije kuwa katoka ulimwengu mwingine
yupo wrong from the beginning,Hairuhusiwi mwanamke kuwa mchungaji,muhubiri,muinjiristi wala shemasi hawajawahi kuwepo kwenye biblia,kwa lugha nyingine mwanamke haruhusiwi kusimama madhabahuni na akawafundisha wanaume,wanawake sababu yeye si kichwa,yeye alidanganywa mwanzo
Not only in hellKwa mara ya kwanza nimeona video yake moja YouTube leo ndio nika search kujua zaidi, Mungu awahurumie sana maana hata hatumii akili nyingi kuwapotosha, na yeye anajiita mungu/mfalme etc. alafu waumini wake wanatoa ushuhuda na kukiri kuwa wamesema uongo!! ( eg niliitwa nikawaambia sina nauli na nauli nilikua nayo kwa vile nilikua sitaki kwenda!! Mwingine akasema nilisema mganga ndio aliyeniponya lakini nilikuja kwa mfalme zumaridi akaniponya) Biblia inasema shetani ni baba wa uongo!! That woman is a witch in a high different level, if she do not change she will have a very special place in hell.
Hahahaaa dunia ndogo sana hii mkuuNimeshangaa sana kuona mwanamke anajiita mfalme alafu nikaona kuna mama mmoja anatoa ushuhuda akawa anamuita mwanamke mwenzake baba.. yani kutoka kwenye ufalme mpaka ubaba.