mama D
JF-Expert Member
- Nov 22, 2010
- 19,981
- 35,581
Kwa imani zetu wengi wetu tunaoishi duniani tunaongozwa na roho. Na hizo roho zipo za aina mbili; ile ya Mwenyezi Mungu muumbaji na mwenye mamlaka na ukuu juu ya wakuu wote, au roho mkuu wa giza shetani au ibilisi.
Tunaoishi duniani hatuwezi kukwepa ya dunia hii, lazima tutakutana nayo kwa kutaka au kutotaka. Leo nimekutana na habari za huyu mama anayeitwa MFALME ZUMARIDI zikisema amekamatwa na police kwa kuwaweka watu mateka.
Huyu ZUMARIDI ni nani haswa? Na anafanya nini na akiongozwa na roho yupi!?
Naambatanisha baadhi ya video zake