Mfalme Zumaridi ni nani haswa?

Mfalme Zumaridi ni nani haswa?

Binadamu hasa Waafrika baada ya Kuona Dini walizomo haziwakomboi na Matatizo yao hayatatuliki bali wanapewa Matumaini tu. Sasa Walioona Fursa zinazopigwa huko na Makanisa Makubwa na Madhehebu makubwa wakaamua kuanzisha Makanisa yao pia

Lengo likiwa ni Lile lile Kuchuma Mali kutoka Kwa Watu wenye Shida.

Kumbuka
1. Sadaka haendi Kwa Mungu ingawa umeaminishwa hivyo

2. Mungu hakupi wala kukunyima Riziki ingawa umeaminishwa hivyo

3. Mungu hana mtume wala nabii ingawa Umeaminishwa hivyo

4. Mungu hamjaribu binadamu. Binadamu anajaribiwa na Binadamu mwenzake au viumbe wengine visivyo mwanadamu


Kwahiyo Makanisa ya Sasa Yanatumia mianya hiyo Kukupakua vizuri pesa zako
Wewe kati ya hayo lipi umeliamini katika harakati za kuaminishwa
 
Haya mafundisho ya hawa mitume na manabii wa siku hizi huwafanya wengi kuwa watumwa wao, na mbaya zaidI kwasababu wengi wa waumini wao hawana maarifa yoyote ya biblia hujikuta wanatumbukizwa kwenye mafundisho potofu huku wao wakiamini wako kwenye njia salama.

Njaa zao za kutafuta miujiza huwapofusha akili na macho yao wasione hatari iliyowazunguka au inayowakaribia kutoka kwa mafundisho ya hao manabii wa uongo.

Tumfuteni kwanza Yesu Kristu kupitia maandiko ya biblia, tusijidharau kwa kujiona tuna dhambi sana au vyovyote vile.

Tukishamjua Yesu yeye ndie atatutendea miujiza tunayoitafuta kwasababu yeye ndie mtenda miujiza, sio tunapoteza muda kuitafuta miujiza wakati Yesu Kristu mwenyewe hatumjui, tunajidanganya, na tutachezewa sana na hawa manabii wa uongo.
 
Back
Top Bottom