Mfalme Zumaridi ni nani haswa?

Story za Yesu kamba tu
 
Umechukua mifano michache Halafu unalazimsha makanisa yote Ni mabaya. Makanisa mengi Ni mazuri ila Kuna machache ambayo ndio yanaharibu sifa.
Sema Tu kanisa linalopelekea sadaka kwa Mungu nami nitaliita Kanisa hilo ni Zuri
 
Mnh.. hii nchi acheni kabisa aisee. Ni ngumu mno kuielewa.

Dahh!!
 
Hii picha inaonyesha ni kiasi gani na kwa kiwango gani binadamu anaweza kukosa akili na maarifa. Kumwinamia na kumuabudi kiumbe kama wewe ni ukosefu mkubwa sana wa maarifa na akili.

Stuuuped indeed!!
Ukiona hivyo ujue mambo yao yananyooka
 
Ni nani haswa huyu ZUMARIDI?
Huyu zumaridi ni mwanamama anaeitwa Esther/Diana, ila huwa Luna nyakati roho ya mungu baba wa mbinguni hutumia(huvaa) mwili wake kama hekulu la kufikisha ujumbe kwa watu wake yaaani kama vile huko nyuma ilivyowahi kuwa, roho ya mungu ilivaa mwili na kuzaliwa mtu kama Kristo yesu..Yeye ni tofauti kidogo kwa kuwa yeye ni pure mwanadamu ila roho ya mungu huingia ndani yake na kufanya shughuli za kiungu kupitia yeye kama vile pepo linavyoingia kwa mtu na kufanya vurugu za kipepo kupitia mwili wa huyo alieingiliwa. Hivyo ikitokea umekututana nae huyu mwanamama akiwa tayari roho ya mungu imemshukia muite Mfalme mungu zumaridi...kwa kuwa nafsi ya mungu ipo ndani yake muda huo(hawi yeye) na vilevile ukimkuta roho ya mungu haijamshukia wakati huo huwa ni pure mwanadamu na muite tu Esther/Diana.(Source: Yeye mwenyewe)
 
Ana mwanamume?
 
Mauno yake umeyaona hapo juu?

Ndiyo maana anapata wafuasi wengi! Watakuwa wanaambizana kuhusu hayo mauno ya mfalme. Hivyo kila mtu anajikuta anashawishika kwenda kujionea kwa macho yake.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…