Mfalme Zumaridi ni nani haswa?

Nimeona picha mitandaoni inaelekea wamemnasa vibao
 
Zumaridi akimpa roho ya Michael Jackson muumini wake[emoji1787]
Your browser is not able to display this video.
 
kudadadadeki mkuu..mimi mwenyewe kuna time huwa naskuti nawazaaaa kama wewe...ila basi naona nishaamini muda mrefu sana acha tu niendelee
 
Huyu mtu adhibitiwe vinginevyo ya kibwetere yananukia
 
Tapeli tu uyo anashukiwa na majini tu achomoke sasa police na huyo roho wake kwanza Mungu gani anaitwa Zumaradi kama sio uchawi
Mfalme zumaridi..nguvu ya mungu chini ya jua...

#MaendeleoHayanaChama
 
Wew ni mwana jadi mzuri sana nimependa comment yako
 
Msichokijua nikwamba, kama mnataka kupiga hela, mwanza kunafaa sana,

maskini niwengi sana na wanataka wafanikiwe kwa njia ya maombezi!!

Hawanania ya kufanya kazi

Wefungua kanisa tu[emoji23][emoji23]
Wewe ni tajiri?
 
Umasikini ni tatizo kubwa kuliko tulivyodhani. Hua unaondoa kabisa uwezo wa mtu wa kufikiri.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…