Mfalme Zumaridi ni nani haswa?

Mfalme Zumaridi ni nani haswa?

Kwa imani zetu wengi wetu tunaoishi duniani tunaongozwa na roho. Na hizo roho zipo za aina mbili; ile ya Mwenyezi Mungu muumbaji na mwenye mamlaka na ukuu juu ya wakuu wote, au roho mkuu wa giza shetani au ibilisi.

Tunaoishi duniani hatuwezi kukwepa ya dunia hii, lazima tutakutana nayo kwa kutaka au kutotaka. Leo nimekutana na habari za huyu mama anayeitwa MFALME ZUMARIDI zikisema amekamatwa na police kwa kuwaweka watu mateka.

Huyu ZUMARIDI ni nani haswa? Na anafanya nini na akiongozwa na roho yupi!?

Naambatanisha baadhi ya video zake

View attachment 2134082


View attachment 2134083
Sema ni shangazi flani hivi yaani na mkorogo umemkubali 😊
 
Hahahahaa anakatika huyo[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Nasoma ndio. Ninapoomba uthibitisho ni kwa faida ya wote hata wale wasiosoma
Na hiyo ni Elimu muhimu kwa jamii
basi washauri pia wakasome biblia vipo vifungu vingi utapata huo uthibitisho
 
Binadamu hasa Waafrika baada ya Kuona Dini walizomo haziwakomboi na Matatizo yao hayatatuliki bali wanapewa Matumaini tu. Sasa Walioona Fursa zinazopigwa huko na Makanisa Makubwa na Madhehebu makubwa wakaamua kuanzisha Makanisa yao pia

Lengo likiwa ni Lile lile Kuchuma Mali kutoka Kwa Watu wenye Shida.

Kumbuka
1. Sadaka haendi Kwa Mungu ingawa umeaminishwa hivyo

2. Mungu hakupi wala kukunyima Riziki ingawa umeaminishwa hivyo

3. Mungu hana mtume wala nabii ingawa Umeaminishwa hivyo

4. Mungu hamjaribu binadamu. Binadamu anajaribiwa na Binadamu mwenzake au viumbe wengine visivyo mwanadamu


Kwahiyo Makanisa ya Sasa Yanatumia mianya hiyo Kukupakua vizuri pesa zako
Kwahyo hana tofaut na askofu ila ni kwamba yeye hajawa formal tu. Hahahha
 
Kapigwa kachakaaaa[emoji1787] urembo wote kwishney babuj[emoji1787] sema mie nimempenda sana! Nani alisema nabii hakubaliki kwao? Nataman nimuulize mtaji alipata wap? Anaitwa baba halaf anapata mimba hapo tu ndiyo kaniudhi!! Angejiita mama tu kwan mama ndiyo mlezi wa wana!!! Sa cjui na yeye ana boss wake au yeye ndiyo top manyota???
 
Duu adi ‘jongoo limepanda mtungi’ hili lijimama litakuwa litamu kweli kweli….,
 
Back
Top Bottom