Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sema ni shangazi flani hivi yaani na mkorogo umemkubali 😊Kwa imani zetu wengi wetu tunaoishi duniani tunaongozwa na roho. Na hizo roho zipo za aina mbili; ile ya Mwenyezi Mungu muumbaji na mwenye mamlaka na ukuu juu ya wakuu wote, au roho mkuu wa giza shetani au ibilisi.
Tunaoishi duniani hatuwezi kukwepa ya dunia hii, lazima tutakutana nayo kwa kutaka au kutotaka. Leo nimekutana na habari za huyu mama anayeitwa MFALME ZUMARIDI zikisema amekamatwa na police kwa kuwaweka watu mateka.
Huyu ZUMARIDI ni nani haswa? Na anafanya nini na akiongozwa na roho yupi!?
Naambatanisha baadhi ya video zake
View attachment 2134082
View attachment 2134083
Huyu wa mwisho hapo tako limetokezeaView attachment 2134086
naongezea
Zumaridi [emoji15]Tapeli tu uyo anashukiwa na majini tu achomoke sasa police na huyo roho wake kwanza Mungu gani anaitwa Zumaradi kama sio uchawi
basi washauri pia wakasome biblia vipo vifungu vingi utapata huo uthibitishoNasoma ndio. Ninapoomba uthibitisho ni kwa faida ya wote hata wale wasiosoma
Na hiyo ni Elimu muhimu kwa jamii
Anawadanganya wasukuma wenzie mkuu. Yaan ndo tukubar utafit wa ugari unadumaza akiliIla yaani msukuma anawadanganyaje
Kwahyo hana tofaut na askofu ila ni kwamba yeye hajawa formal tu. HahahhaBinadamu hasa Waafrika baada ya Kuona Dini walizomo haziwakomboi na Matatizo yao hayatatuliki bali wanapewa Matumaini tu. Sasa Walioona Fursa zinazopigwa huko na Makanisa Makubwa na Madhehebu makubwa wakaamua kuanzisha Makanisa yao pia
Lengo likiwa ni Lile lile Kuchuma Mali kutoka Kwa Watu wenye Shida.
Kumbuka
1. Sadaka haendi Kwa Mungu ingawa umeaminishwa hivyo
2. Mungu hakupi wala kukunyima Riziki ingawa umeaminishwa hivyo
3. Mungu hana mtume wala nabii ingawa Umeaminishwa hivyo
4. Mungu hamjaribu binadamu. Binadamu anajaribiwa na Binadamu mwenzake au viumbe wengine visivyo mwanadamu
Kwahiyo Makanisa ya Sasa Yanatumia mianya hiyo Kukupakua vizuri pesa zako
noma sana, mfalme ana matumizi mabaya sana ya wadadaMbona kama wadada hapo wana mashepu
Ova
Si unajua wajinga ni wenginoma sana, mfalme ana matumizi mabaya sana ya wadada
Mie naona doggy style tu hapo.View attachment 2134086
naongezea
Hakuna Tofauti. Wengine wanafuata System za Serikali ili waende nazo vizuri yeye anataka Kupiga Pesa Mwenyewe mwenyewe. Lazima polisi waje mlangoniKwahyo hana tofaut na askofu ila ni kwamba yeye hajawa formal tu. Hahahha
Anafaa kwa matumizi ya kibinadamuAnashepu la kuvunja chaga
King zumaKwani yeye ni nani!? Mfalme, mchungaji? Au padre?