Umnyooshe nani kwa mfano?Huoni we ndo umenyooshwa hadi unakuja kulia lia hapa!Fanyia biashara kazi uliyosomea kwani lazima ulazimishe biashara ya dawa?Tatizo mnaona maisha rahisi rahisihospitali hatutafungua, tutaendelea kuwanyoosha wafamasia hadi mtia adabu.
Kwa lugha rahisi, mfamasia ni mtaalamu wa madawa! kazi yake inahusisha kutengeneza, kuchanganya, kutunza na kufikisha dawa kwa wagonjwa zikiwa salama. Ndiye anayeweza kuya-handle madawa na anajua vizuri kwa undani mode of action ya madawa. Daktari/MD ni mtaalamu wa tiba! kazi yake ni kutibu watu , anajua ni dawa ipi inafaa mgonjwa yupi, lakini, si mtaalamu wa kui-handle na kuitunza hiyo dawa, na hata mode of action ya hiyo dawa si lazima aijue kwa undani!!. Nurse ni mtaalamu wa kuuguza! kazi yake ni kuuguza wagonjwa na kuwandle wagonjwa katika kipindi wanachokuwa wanatibiwa. Ndiye anayefuatilia hali ya mgonjwa jinsi anavyoendelea!Naomba kuuliza hivi hiyo Pharmacology anayosoma
1. Mfamasia
2. MD
3. Nurse
Zina utofauti yaani Pure na ingine Basic???
Mtujuze kwanza....
Nenda kasomee pharmacy na wewe.Nataka kujua cheti cha mfamasia kinaruhusiwa kubandikwa kwenye pharmacy ngapi ndani ya wilaya anakoishi? Maana kama kinaweza kubandikwa ndani ya pharmacy zaidi ya moja basi haina maana kabisa. Kama kinaweza kubandikwa ndani ya pharmacy zaidi ya moja kwa maana ya kuzisimamia, kazi hii angepewa mfamasia wa wilaya kazi hii anaweza kuifanya kwa ufanisi zaidi.
Kubandika cheti dukani then unalipwa milioni moja daah. Hivi hii hela huwa inalipiwa kodi?
Kwa Tanzania labda 10% ya Pharmacies ndiyo utamkuta Pharmacist yupo full time, otherwise wagonjwa wengi tuna interact na wahitimu wa ADDO, Technicians na Nurses. Ni vyeti tu wameweka na wanapita mara moja kwa mwezi kuja kuichukua Tsh 1,000,000 -1,500,000.Unaelewa chochote kuhusu business of pharmacy?
Certificate kukaa hapo iko kisheria kwenye pharmacy act sio kuwa wamejiamulia.
Na upo utaratibu wa kufanya supervision sio kwamba cheti kinakuwepo kama hewa , na ukiona mtu hafanyi monthly supervision basi tatizo lipo kwake.
Kwa nchi nilizowahi kuishi na hata nilipo pharmacist anapaswa kuwepo full time.
Kama hawafanyi supervision ni kosa kubwa nadhani ni wakati wa kufanya mabadiliko wawepo hapo wakati wote kama kwa wenzetu.Kwa Tanzania labda 10% ya Pharmacies ndiyo utamkuta Pharmacist yupo full time, otherwise wagonjwa wengi tuna interact na wahitimu wa ADDO, Technicians na Nurses. Ni vyeti tu wameweka na wanapita mara moja kwa mwezi kuja kuichukua Tsh 1,000,000 -1,500,000.
Nami naunga mkono hoja ya mtoa mada, District Pharmacist anatosha kufanya kazi hiyo badala ya kuning'iniza vyeti tu huku watu hawafanyi supervision
Ukiona haridhishi huduma anayokupa, unaweza kuvunja nae mkataba ukatafuta mwingine boss.Kama hawafanyi supervision ni kosa kubwa nadhani ni wakati wa kufanya mabadiliko wawepo hapo wakati wote kama kwa wenzetu.