Yesu Anakuja
JF-Expert Member
- Apr 10, 2019
- 12,675
- 25,924
hospitali hatutafungua, tutaendelea kuwanyoosha wafamasia hadi mtia adabu.Fungua hospitali basi kama pharmacy unaona inakushinda
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
hospitali hatutafungua, tutaendelea kuwanyoosha wafamasia hadi mtia adabu.Fungua hospitali basi kama pharmacy unaona inakushinda
EeeeeenHeeee!Nataka kujua cheti cha mfamasia kinaruhusiwa kubandikwa kwenye pharmacy ngapi ndani ya wilaya anakoishi? Maana kama kinaweza kubandikwa ndani ya pharmacy zaidi ya moja basi haina maana kabisa. Kama kinaweza kubandikwa ndani ya pharmacy zaidi ya moja kwa maana ya kuzisimamia, kazi hii angepewa mfamasia wa wilaya kazi hii anaweza kuifanya kwa ufanisi zaidi.
Kubandika cheti dukani then unalipwa milioni moja daah. Hivi hii hela huwa inalipiwa kodi?
Yeah, kwa izo carrier ulizozitaja hapo pharmacist yupo deep zaidi ya hao wote kwa upande wa pharmacology, ana semester nyingi zaidi za pharmacology na kaenda mbali zaidi kuliko hao wote uliowataja.Naomba kuuliza hivi hiyo Pharmacology anayosoma
1. Mfamasia
2. MD
3. Nurse
Zina utofauti yaani Pure na ingine Basic???
Mtujuze kwanza....
We nae punguani tu.imagine, wanaruhusiwa kusimamia maduka matatu. na kila duka huwa tunawalipa milioni moja kwa mwezi, and still wanajifanya miunguwatu. hizi takataka zinaitwa mfamasia zinatesa sana nafsi za watu mtaani huko. kuna siku tutawataja majina na mali mnazomiliki hapa.
Mkuu 'Papai'Naomba kuuliza hivi hiyo Pharmacology anayosoma
1. Mfamasia
2. MD
3. Nurse
Zina utofauti yaani Pure na ingine Basic???
Mtujuze kwanza....
Pole sana mkuu, hauko updated!imagine, wanaruhusiwa kusimamia maduka matatu. na kila duka huwa tunawalipa milioni moja kwa mwezi, and still wanajifanya miunguwatu. hizi takataka zinaitwa mfamasia zinatesa sana nafsi za watu mtaani huko. kuna siku tutawataja majina na mali mnazomiliki hapa.
Miaka 4 ukiwa darasani sio mingi, kasome Pharmacy ili uache chuki dhidi ya wenziohospitali hatutafungua, tutaendelea kuwanyoosha wafamasia hadi mtia adabu.
Utofauti wake ni kama anayesoma Basic Applied Mathematics(BAM) na mwingine anasoma Advanced Mathematics(Pure Mathematics)Naomba kuuliza hivi hiyo Pharmacology anayosoma
1. Mfamasia
2. MD
3. Nurse
Zina utofauti yaani Pure na ingine Basic???
Mtujuze kwanza....
Njia yako bado sio suluhisho, serikali ukitaka namna bora wapo watu watawapa suluhu ,kuwa mikononi mwa wafamasia wa wilaya ni mwanzo wa rushwaNataka kujua cheti cha mfamasia kinaruhusiwa kubandikwa kwenye pharmacy ngapi ndani ya wilaya anakoishi? Maana kama kinaweza kubandikwa ndani ya pharmacy zaidi ya moja basi haina maana kabisa. Kama kinaweza kubandikwa ndani ya pharmacy zaidi ya moja kwa maana ya kuzisimamia, kazi hii angepewa mfamasia wa wilaya kazi hii anaweza kuifanya kwa ufanisi zaidi.
Kubandika cheti dukani then unalipwa milioni moja daah. Hivi hii hela huwa inalipiwa kodi?
Tatizo ni kwamba watu ambao si wafamasia wanataka kufanya biashara ya pharmacy, hapo ni lazima utafute mfamasia mwenye utaalamu huo! Sasa unalaumu nini? Unataka uruhusiwe kufanya biashara inayogusa afya za watu bila usimamizi wa wataalamu husika? Ulitaka mfamasia aliyesoma shahada kwa miaka 5 na kulipia ada ya chuo mamilioni ya shilingi alipwe shilingi ngapi kwa kusimamia biashara hiyo inayokuingizia mamilioni ya kutisha kwa mwezi!! Kama huwezi kumlipa mfamasia kwa huduma yake nenda kauze nafaka!! Duniani kote pharmacy zinaendeshwa na kusimamiwa na wafamasia!! Kama unaona wanafaidi na wewe nenda kasomee pharmacy!! Wewe unataka ufanye kazi ambayo hujaisomea haiwezekani!! Mtu halali na kuamka halafu akawa mfamasia!!imagine, wanaruhusiwa kusimamia maduka matatu. na kila duka huwa tunawalipa milioni moja kwa mwezi, and still wanajifanya miunguwatu. hizi takataka zinaitwa mfamasia zinatesa sana nafsi za watu mtaani huko. kuna siku tutawataja majina na mali mnazomiliki hapa.
Huku Tanzania cheti ndo kinakuwepo full time, mfamasia mwenye hajawahi kuonekana. Huoni tatizo hapo?Unaelewa chochote kuhusu business of pharmacy?
Certificate kukaa hapo iko kisheria kwenye pharmacy act sio kuwa wamejiamulia.
Na upo utaratibu wa kufanya supervision sio kwamba cheti kinakuwepo kama hewa , na ukiona mtu hafanyi monthly supervision basi tatizo lipo kwake.
Kwa nchi nilizowahi kuishi na hata nilipo pharmacist anapaswa kuwepo full time.
Yote yanayolalamikiwa yapo kisheria!! Wanaolalamika hawajui sheria!! Na si Tanzania tu bali ni duniani kote!! Kimsingi maduka yote ya pharmacy yalitakiwa kusimamiwa na wafamasia tu. Lakini kwa sababu wafamasia ni wachache sana ndio maana serikali ikaja na mpango wa maduka ya dawa muhimu ambayo si lazima yasimamiwe na mfamasia japo ni lazima yawe yanakaguliwa na mfamasia wa halmashauri mara kwa mara!! Kwa nchi za ulaya hakuna kitu kama duka la dawa muhimu au dawa baridi. Maduka yote ya dawa ni pharmacy, na sisi huko ndiko tunakokwenda. Kwa kadri wafamasia wanavyozidi kuongezeka ndivyo maduka ya dawa muhimu yatakavyokuwa yanapungua na tukiwa na wafamasia wa kutosha maduka ya dawa muhimu yataondolewa na kubakiza pharmacy tu.Any pharmacy Act Caption au kanuni inayotaka uwepo wa hili?
Pia mfamasia anafanya majukumu yake yote hapo kwa mujibu wa sheria! kama kuna muuzaji mwenye sifa kama muuguzi si lazima mfamasia awepo muda wote ila ndiye anayemsimamia huyo muuzaji na ndiye anayetoa ripoti ya utendaji wa pharmacy kwenye mamlaka zinazohusika! Tatizo la jamii ni kuwa haijui majukumu ya mfamasia!Huku Tanzania cheti ndo kinakuwepo full time, mfamasia mwenye hajawahi kuonekana. Huoni tatizo hapo?
Tumesoma sana kuhusu dawa mkuu.. kila mtu ale kwa urefu wa kamba yake.imagine, wanaruhusiwa kusimamia maduka matatu. na kila duka huwa tunawalipa milioni moja kwa mwezi, and still wanajifanya miunguwatu. hizi takataka zinaitwa mfamasia zinatesa sana nafsi za watu mtaani huko. kuna siku tutawataja majina na mali mnazomiliki hapa.
Basi hilo ni tatizo ila mleta mada kuon cheti kutokuwepo sio sawa.Huku Tanzania cheti ndo kinakuwepo full time, mfamasia mwenye hajawahi kuonekana. Huoni tatizo hapo?
Pharmacy is a business of Pharmacist!Tatizo ni kwamba watu ambao si wafamasia wanataka kufanya biashara ya pharmacy, hapo ni lazima utafute mfamasia mwenye utaalamu huo! Sasa unalaumu nini? Unataka uruhusiwe kufanya biashara inayogusa afya za watu bila usimamizi wa wataalamu husika? Ulitaka mfamasia aliyesoma shahada kwa miaka 5 na kulipia ada ya chuo mamilioni ya shilingi alipwe shilingi ngapi kwa kusimamia biashara hiyo inayokuingizia mamilioni ya kutisha kwa mwezi!! Kama huwezi kumlipa mfamasia kwa huduma yake nenda kauze nafaka!! Duniani kote pharmacy zinaendeshwa na kusimamiwa na wafamasia!! Kama unaona wanafaidi na wewe nenda kasomee pharmacy!! Wewe unataka ufanye kazi ambayo hujaisomea haiwezekani!! Mtu halali na kuamka halafu akawa mfamasia!!
Kasomee pharmacy uweke cheti chako hutaulizwa.Tatizo mnalazimisha kufanyia biashara fani za watu.Sheria iko clearcheti chabandikwa kwa pharmacy kwa kati ya shilingi 700,ooo hadi 1,500,ooo kwa mwezi ili hali na yeye ni mwajiriwa tena wa serikali ama wa taasisi binafsi na hela hizo hazilipiwi kodi.
TRA piteni nao waingie kwenye mfumo kwa kodi manake fedha hiyo haikatwi kodiii