New ID l
JF-Expert Member
- Apr 3, 2017
- 248
- 480
Huwa nawashangaa sana baadhi ya watanzania kutanuka mishipa ya shingo kwa kutaka CCM ipigwe chini na kikae chama kingine madarakani.
Ni upuuzi, ujinga na ukosefu wa akili.
Watu ni walewale, nchi ni hiihii kama ulikuwa hujui!
Acha kupoteza muda na kushabikia ulaji wa wenzako. Hao wote ni kitu kimoja, nje maadui ndani familia moja.
Halafu kama huna mzazi au ndugu aliye na nyadhifa yoyote Serikalini, wewe takataka tu hapa nchini.
Wacha kuwapigia debe wasiokujua, kwa kufanya hivyo ni kuzitengenezea ulaji familia zao!
(wana macho 👀 lakini hawaoni, wana masikio👂 lakini hawasikii )