Mfano CHADEMA imeshinda na kimekuwa chama tawala hapa nchini, unadhani nini kitabadilika?

Huwa nawashangaa sana baadhi ya watanzania kutanuka mishipa ya shingo kwa kutaka CCM ipigwe chini na kikae chama kingine madarakani!

Ni upuuzi, ujinga na ukosefu wa akili.

Watu ni walewale, nchi ni hiihii kama ulikuwa hujui!

Acha kupoteza muda na kushabikia ulaji wa wenzako. Hao wote ni kitu kimoja, nje maadui ndani familia moja.

Halafu kama huna mzazi au ndugu aliye na nyadhifa yoyote s
Serikalini, wewe takataka tu hapa nchini.

Wacha kuwapigia debe wasiokujua, kwa kufanya hivyo ni kuzitengenezea ulaji familia zao!

( wanamacho 👀 lakini hawaoni, wana masikio👂 lakini hawasikii )
Masosolo
 
Hakuna kitakachobadilika kama wananchi hawatabadilika!
 
Kiuhalisia, hawana la maana hata wakishika nchi, dalili zinaonesha na wao ni wa madili tu huenda zaidi ya ccm. Wataanza kujenga ofisi maana hawana, kutumia v8 maana hawana, ndg zao waonekane nao ni watu mbele ya watu. Huwezi kuupinga wizi wa Lowersir kiasi kile halafu baadae ukaja kumsimamisha huyo huyo mwizi eti mgombea urais kupitia chama chako halafu tukuelewe eti una dhamira ya dhati ya kuiongoza nchi. HAPANA.
Tofauti ya watanzania kama wewe ni kutokuwa na uthubutu wa kujaribu, mfno hao ccm kwa miaka 60 imefanya nin kikubwa hamna lakin watu kama wewe unaona kama bado Wana stahili hii ndo inayowatofautisha wanigeria, wakenya na waghana na watanzania
 
Umemuelewa lkn
 
Binafsi ni mwana CCM
Nafikiri yafuatayo katika madaraka ya hawa wenzetu ijapo kuwa haiwezekani wao kutwaa nchi.
1. Kubadilika kwa mfumo wa elimu, kutakuwa na mifumo ya kisasa na rugha ya kiingereza mwanzoni wa utawala wao
2. Kushamiri kwa sekta ya biashara na mabenki na kilimo cha kisasa kitakacho wasahau sana wanyonge.
2. Mzunguko mkubwa wa fedha na kupanda kwa bei itakuwa wastani.
3. Kuwekwa kizuizini, kufutwa kazi kwa wakurugenzi na wataalamu wengi wa serikali. Utendaji kazi utakuwa wa mzuka mzuka.
4. Idara nyingi zitajaa watu kwa upended na sio professional
5. Ukanda.
6. Mabadiliko ya katiba na kupata katiba bora mwanzoni mwa mamlaka yao
7. Mabadiliko ya katiba na kutengeneza utawala wa kifalme baada ya miaka mnne.
8. Kuvunjika kwa Muungano
 
Till now wachaga ni wengi sana kwenye idara ya serekali zijae Mara ngapi
 
Binafsi sikutaja kabila.. ila kiukweli kutakuwa na wachaga wengi zaidi kwenye halmashauri za wilaya na mikoani na wizarani yani ni kama walivyokuwa wanafanya wakati wa selection za wabunge wa viti maalumu. Makabila mengine yenye ushawishi ndani ya chadema kama wakurya watalamba dodo
 
Still ni wengi hata sasahiv kuanzia kwenye public sector mpaka private sector, hata ukienda vyuon wanafunzi wengi ni wachaga

Usijidanganye mpaka chadema waingie madarakan ndo wawe wengi currently ni wengi
 
Huwa nawashangaa sana baadhi ya watanzania kutanuka mishipa ya shingo kwa kutaka CCM ipigwe chini na kikae chama kingine madarakani!
! Wananchi wanachodai ni KATIBA MPYA itakayotokana na wananchi wenyewe. Sasa kama kudai katiba mpya unaita kushupaza mishipa basi sawa wacha washupaze ni haki yao tena ya msingi kabisa.
 
Tofauti ya watanzania kama wewe ni kutokuwa na uthubutu wa kujaribu, mfno hao ccm kwa miaka 60 imefanya nin kikubwa hamna lakin watu kama wewe unaona kama bado Wana stahili hii ndo inayowatofautisha wanigeria, wakenya na waghana na watanzania
Sasa wewe chadema about 30 years hata ofisi za chama hujajenga tukupe nchi kwa majaribio? Onesha kwanza uwezo wako kabla hatujakupa dhamana ya kuongoza nchi.
 
Wapi nimesema mim ni mwanachama wa chadema jikite kwenye mada
 
Serikali nzuri ni ambayo itakuwa na mixture ya 2-3 political parties in at least balance positions, hii itasaidia sana uwajibikaji.
Mambo ya chama moja kudominate haijalishi ni ipi itakuwa na changamoto hizi hizi tulizonzao sasa.
 
Tra kule mkwere alikata mnyororo,maana mramba akijaza wachaga tu..hawana wingi huo Sasa hivi
Kwani wakiwa wengi kuna shida gani? Unapowabana watu wasiingie kwenye ajira za serikali watatengeneza utajiri kupitia sekta binafsi. Matokeo yake serikali itakuwa watumwa wao.

Hili lilishajitokeza miaka ya 1800's na mwanzoni mwa 1900's. Serekali za Ulaya zilipiga marufuku Wayahudi wasiajiriwe serikali wala wasiwe na kazi zozote professional. Matokeo yake baada ya muda Wayahudi wakawa ndiyo wenye kushilikilia biashara zote kubwa za maana. Hiki ndiyo kitatokea unapobinya watu fulani wasiajiriwe serikalini.

Ni kama Wahindi au Waarab hapa Tz. Hawaajiriwi serikalini ila ndiyo wamiliki wa njia kuu za uchumi.
 
Kuna Haja ya Somo la Uraia liwekewe kipaumbele kuliko masomo mengine yoote....
 
Still ni wengi hata sasahiv kuanzia kwenye public sector mpaka private sector, hata ukienda vyuon wanafunzi wengi ni wachaga

Usijidanganye mpaka chadema waingie madarakan ndo wawe wengi currently ni wengi
Kwa utafiti upi ulofanya? Hii sio miaka ya 90 mzee! Wanafunzi wengi vyuoni wanatokea mikoa yote! Hakuna cha moshi wala bukoba mzee! Kuweni wapole! Kuna kamsemo kanasema ''Binadamu unaweza kumdanganya lakini huwezi kumdanganya Siku Zote" Hata nyinyi fursa za bure zilikiwa miaka hiyo! Saizi pambaneni na mambo yenu!
 
Back
Top Bottom