Wakati huo wewe ukiwa kama nani hapoUtashuhudia yafuatayo;katiba mpya itakayothamini wajibu wa kisheria, elimu bora sio uchafu huu, serikali ya only 15 departments, mikoa 20 tu ,wilaya zisizozidi 100,(serikali ndogo yenye ufanisi wa hali ya juu)key positions kuweka autocratics personnel ili ufanisi uwepo, pls tembelea 🇿🇲 uone jinsi president H&H anavyoisuka nchi, utapenda na rate ya ZWK against Tshs ni 1zwk=130tshs,1zwk=17usd, 1zwk =1zar!!!
kama wewe ulivyo na akili ndogo kwa kuisupport CCMNi upuuzi, ujinga na ukosefu wa akili.
KWA MARA YA KWANZAMarangapi
Hakuna lolote.Huwa nawashangaa sana baadhi ya watanzania kutanuka mishipa ya shingo kwa kutaka CCM ipigwe chini na kikae chama kingine madarakani!
Ni upuuzi, ujinga na ukosefu wa akili.
Watu ni walewale, nchi ni hiihii kama ulikuwa hujui!
Acha kupoteza muda na kushabikia ulaji wa wenzako. Hao wote ni kitu kimoja, nje maadui ndani familia moja.
Halafu kama huna mzazi au ndugu aliye na nyadhifa yoyote s
Serikalini, wewe takataka tu hapa nchini.
Wacha kuwapigia debe wasiokujua, kwa kufanya hivyo ni kuzitengenezea ulaji familia zao!
( wanamacho 👀 lakini hawaoni, wana masikio👂 lakini hawasikii )
Kiuhalisia, hawana la maana hata wakishika nchi, dalili zinaonesha na wao ni wa madili tu huenda zaidi ya ccm. Wataanza kujenga ofisi maana hawana, kutumia v8 maana hawana, ndg zao waonekane nao ni watu mbele ya watu. Huwezi kuupinga wizi wa Lowersir kiasi kile halafu baadae ukaja kumsimamisha huyo huyo mwizi eti mgombea urais kupitia chama chako halafu tukuelewe eti una dhamira ya dhati ya kuiongoza nchi. HAPANA.Huwa nawashangaa sana baadhi ya watanzania kutanuka mishipa ya shingo kwa kutaka CCM ipigwe chini na kikae chama kingine madarakani!
Ni upuuzi, ujinga na ukosefu wa akili.
Watu ni walewale, nchi ni hiihii kama ulikuwa hujui!
Acha kupoteza muda na kushabikia ulaji wa wenzako. Hao wote ni kitu kimoja, nje maadui ndani familia moja.
Halafu kama huna mzazi au ndugu aliye na nyadhifa yoyote s
Serikalini, wewe takataka tu hapa nchini.
Wacha kuwapigia debe wasiokujua, kwa kufanya hivyo ni kuzitengenezea ulaji familia zao!
( wanamacho 👀 lakini hawaoni, wana masikio👂 lakini hawasikii )
Kwani sasa hv siyo wengi?Utaona wachaga wengi ofisini