Mfano CHADEMA imeshinda na kimekuwa chama tawala hapa nchini, unadhani nini kitabadilika?

Walaji watabadilika, hilo nalo ni muhimu.
 
Huwa sielewi hili taifa lina watu wa aina gani. Elimu inapaswa kumtoa mtu kwenye ujinga na kumleta kwenye ufahamu, lakini elimu ya Tanzania onamtoa mtu kwenye fahamu ndogo alizozaliwa nazo na kuwa mpumbavu kabisa. Ni mpumbavu kwa sababu angekuwa mjinga angeelimika kwa kupata elimu. Asanteni
 
Nchi Ina makabila 120,wajae kabila moja ofisini uone sawa!!...unaugua!?
 
huwa nawaza hii, yani wapinzani wangepewa hata mwaka mmoja kushika nchi tuone ambacho wangefanya
 

Mbona wewe mwenyewe umeshasema kitakachobadilika au haukuelewa ulichosema🤔🤔​

Hiki kitakuwa kimebadikika "....CHADEMA imeshinda na kimekuwa chama tawala hapa nchini,....."​

 
Tena waanze na no.8
 
Na tafiti zinaonyesha kuwa walimu wetu wanauelewa mdogo sana kuliko kada nyingine, mfano mwalimu hauwezi kumlinganisha na mwanasheria kwa uelewa wa mambo japo wote wana degree 1 au 2
 

Hawa jamaa ni wabunifu sn.
 
Usitege watu ,ZAMBIA MABADILIKO YAO WAYAONAJE?
 
Umenena vyema ndg hata Nyerere mwanzo alijaribu Sana kuwatoa wachaga serikalini matokeo yake wakashika uchumi wa nchi Kwa kujikita kwenye biashara tatizo vijana wengi hawajui historia ya nchi hii wanafichwa mengi Sana Sanasana wanafundishwa kumsujudia beberu[emoji3]
 
Wote wale wale tu, wanapigania matumbo yao.
 
ukiweka KATIBA yenye kipengere cha kumshitaki raisi au kupigiwa vote of no confidence bungeni CHAMA chochote wacha kitawale na kitafanya mambo mazuri kwa maslahi ya taifa. ila kama katiba haimshitaki kiongozi mtawala ujue hakuna chama kitakacho nufaisha wananchi kamwe.
 
hivi Urusi na China sio miongoni mwa mabebebru? acha chuki na nchi ambazo ni zimeeneza christianity!
 
Na wewe kwa utafiti upi uliofanya kwamba walikua wanapewa fursa za bure
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…