Mfano CHADEMA imeshinda na kimekuwa chama tawala hapa nchini, unadhani nini kitabadilika?

Kwani kuna mtu bado anaaminishwa CHADEMA ikichukua nchi ndio maisha yake binafsi yatakuwa bora. Hili nalo ni tatizo la afya ya akili. Kweli waafrika tunatumia asilimia 5 tu ya ubongo wetu.🤣🤣
 
..aisee hii nchi bado sana huyu nae ni msomi na hapa kafikiri kabisa kwenye kuanzisha huu Uzi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…