Mfano mimi ndio baba mkwe wako sasa, hebu nishitakie tabia za mwanangu

haya kama haujaona

sorry hivi huwa unafanya kazi mda gani? kila nikiingia jf nakukuta, mfano kama saivi tunakesha ila pakikucha tu upo humu,, au wew ni miongoni mwa mood🀣🀣🀣🀣🀣
Haya maswali ilibid PM
πŸ’”
 
haya kama haujaona

sorry hivi huwa unafanya kazi mda gani? kila nikiingia jf nakukuta, mfano kama saivi tunakesha ila pakikucha tu upo humu,, au wew ni miongoni mwa mood🀣🀣🀣🀣🀣
Sasa haya mambo ndo nakuongea private, mana hapo nikisema nikujibu serious itabidi nitoe taarifa binafsi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…