win-one
JF-Expert Member
- May 28, 2024
- 11,056
- 37,608
wamekufanya nini tena🤣Ah ww acha tuu ndugu yangu, wanawake ni majangili
wamekufanya nini tena🤣Ah ww acha tuu ndugu yangu, wanawake ni majangili
Ili ni lile bakuli lenye tobo mithili ya chujioItakua bakuli lenye mbege tena lile la chuma 😁
Au bakuri la togwa
AstghafirullahIli ni lile bakuli lenye tobo mithili ya chujio
jamani jamni nyie watu daah🤣🤣🤣Ili ni lile bakuli lenye tobo mithili ya chujio
AfadhaliAstghafirullah
Ashakum si matusi
Mie nalalaaaa🥹😁
Bakuli Hata ukiweka jiwe, linaanguka.Ili ni lile bakuli lenye tobo mithili ya chujio
Vijana wachawi mfyuuuuMbaga Jr kakamatika mwenzio huku🤣🤣🤣
Umefanya niache nyeto 😎wamekufanya nini tena🤣
Hii imeniumaBakuli Hata ukiweka jiwe, linaanguka.
Sasa hilo n bakuli au nguo la mashine ya kusaga ile 😂
weee toka zako huko,,, piga nyeto okoa kibunda chako" ndo kauli mbiu yenu eeehUmefanya niache nyeto 😎
Wamemfanya mpaka saizi ajalalawamekufanya nini tena🤣
muacheni shoga angu mtamfanya pombe zimuishe bila kupenda🤣🤣🤣Bakuli Hata ukiweka jiwe, linaanguka.
Sasa hilo n bakuli au nguo la mashine ya kusaga ile 😂
Wachawi hawa mfyuuumuacheni shoga angu mtamfanya pombe zimuishe bila kupenda🤣🤣🤣
kwahiyo na wew alokufanya usilale mpaka saivi ni mwanamke au? 🤣Wamemfanya mpaka saizi ajalala
Wanawake mnaupiga mwingi kwakweli
pole kipenzi ila usijaliii nipo na wew hata sikuachiWachawi hawa mfyuuu
Siwezi nikamuacha naona ana vitu vyangu kbs🥰muacheni shoga angu mtamfanya pombe zimuishe bila kupenda🤣🤣🤣
Kwako ww niko tayari kutoa huu utajiri wangu wote niliosave kipindi cha miaka yangu yote ya nyetoweee toka zako huko,,, piga nyeto okoa kibunda chako" ndo kauli mbiu yenu eeeh
Bila shaka 😁kwahiyo na wew alokufanya usilale mpaka saivi ni mwanamke au? 🤣
woyoooooooo ishi humo mwanetu mi nakubless bila hiyana🤗💃Siwezi nikamuacha naona ana vitu vyangu kbs🥰