Hivi kwa mfano;
Ikabainika kwamba kula vyakula bila kumenya ndiyo chanzo cha umri mrefu duniani itakuwaje!
Ujue ukitafakari sayansi ya watu wa zamani kuishi miaka mia 600 au mia 400!
Unashindwa kabisa kuelewa siri imefichwa wapi hadi sahivi watu waitafte 100 kwa mbinde!
Mi nazani siri hii haiko mbali sana, lakini kwa vile imefichwa kwavile utafiti wake unahitaji miaka mingi sana thus hautafutwi.
Mimi Nina wazo! Taasisi ya utafiti zinaonaje kupeleka mswada wa sheria ya utafiti!
Ili iruhusu kizazi cha majaribio, wachukue mwanaume na mwanamke watiane mimba then mtoto akalelewe porini kama mnyama! (Watu wa kujitolea mbegu hawakosi!
Ili wachunguze mwenendo wa ukuaji wa huyu binadamu pori anaekula matunda bila kisu, na kula mizizi au mihogo pasipo kumenya like ganda la inje! Wachukue sampo kama mia waangalie wataishi miaka mingapi!
Kuna uwezekano mkubwa chanzo kikubwa cha kuishi miaka mingi ikawa ni kula bila kumenya! Na kusafiri kwa miguu pasipo kupoteza mda kusoma elimu dunia!
Nimewaza hivyo kwasababu watu wa zamani siyo kwamba walikuwa wema sana kuliko sisi! Kama umalaya walifanya, walioa wake wengi lakini bado waliishi miaka mingi!
Hivyo yamkini chanzo cha kufupisha umri ni hii sayansi tuliojinasibu kuwa ndo afya! Kupanda ndege,nagari, vyakula vya kukoboa,lost, tissue, miswaki yenye sawa, maji ya chupa n.k
Ni wazo tu lakini naomba nisishambuliwe!