Mfano siku ikibainika kula bila kumenya kunaongeza umri wa kuishi hadi miaka 200, tutajiona wajinga sana

Mfumo wa maisha ya binadamu umebadilika sana hasa ulaji, yaani 95% ya vyakula tunavyokula ni kemikali tupu si nyama, si matunda, si mboga za majani (Fertilizers, Pesticides, insecticides, fungicides).

Kuna madawa ya kuhifadhia vyakula vikae muda mrefu pasipo kuharibika. Kemikali za kuivisha ndizi, siku moja tu ndizi zinaiva hakuna haja ya kuzivundika muda mrefu.

Ukija kwenye masuala ya uzazi ndo basi tena(Contraceptives)

Ukirudi kwenye urembo unakutana na vipodozi vyenye viambata vya kemikali zisizofaa kwa matumizi ya ngozi.

Yaani tafrani tupu.

Hata ukijaribu kula vyakula asilia bado mazingira ya ukuaji wake sio rafiki sana(kwa mijini) nusu asilia. Lakini ni kheri shari nusu kuliko shari kamili.
 
Wataliwa na simba ndani ya masaa24
 
Nyani anaishi miaka mingapi?
 
Aisee hii michache tu ni mateso Tosha hasa kwa binadamu ambao tunasindikiza wenzetu kimaisha hapa ulimwengunišŸ˜…
 
Kwa nini tusiangalie nyani na tumbili wanaishi kwa muda gani? Wao sio kila kitu wanachokula wanamenya.
 
Salaam. Mimi ninaona kwanza tujiulize, je hao walioishi miaka 600, hiyo miaka ilikuwa na siku 365 kama ilivyo kwa miaka yetu? Maana inaweza kuwa siyo. Ikawa pungufu.
 
Hivi, hiyo miaka yao, ilikuwa ina siku sawa kama miaka yetu yenye siku 365? Isije kuwa ilikuwa na siku pungufu. Hivyo, ikaonekana ni mingi lakini siku ni chache.
 
Kwani normadic tribes za hapa Tanzania (barabaig, hadzabe, sandawe nk) wanaishi miaka mingapi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…