1. Simon SirroNafamu upepo sio mzuri na mpaka muda huu Kuna people zinapumlia mashine. Mm mwaka huu ata watu wote wakatae barabarani nitaingia. Miaka 30 ya umri wangu elimu yangu unaenda kufanya interview ya kazi serikalini unawapita wote Ila wakigudua una kadi ya upinzani wanakuengua. This time around imekula kwao nasema Tena imekula kwao wafanye watakalo wengine ata baba zetu hatukuwai kuwaona tunaenda kuzeeka na hiki chama? By the way ikitokea tumechukua Nchi Tuanze na wakuu gani wa taasisi kuwagawana.
Hahahaha MAMBUMBUMBU YA MZEE WA FARAGHA KWENYE UBORA WAONadhani tuanze na yule mtoto wa dada. Dotto Jemshi. Asije akakimbia na kile chungu chetu cha wali nyama kusikojulikana mara tu baada ya jahazi kuzama.
Tutakufa njaa!!
Nadhani tuanze na yule mtoto wa dada. Dotto Jemshi. Asije akakimbia na kile chungu chetu cha wali nyama kusikojulikana mara tu baada ya jahazi kuzama.
Tutakufa njaa!!
Hamuwezi chukua nchi, kwa Chama cha Mbowe kilivyo chaweza timua wote wabakie wachache Chadema na wachaga. Mnachoweza chukua ni viti maalum tu, tena kwa kuwahonga ruzuku za chama mpaka mnavunjwa miguu.Nafamu upepo sio mzuri na mpaka muda huu Kuna people zinapumlia mashine. Mm mwaka huu ata watu wote wakatae barabarani nitaingia. Miaka 30 ya umri wangu elimu yangu unaenda kufanya interview ya kazi serikalini unawapita wote Ila wakigudua una kadi ya upinzani wanakuengua. This time around imekula kwao nasema Tena imekula kwao wafanye watakalo wengine ata baba zetu hatukuwai kuwaona tunaenda kuzeeka na hiki chama? By the way ikitokea tumechukua Nchi Tuanze na wakuu gani wa taasisi kuwagawana.
Mbona una msahau Ndugai ? Huyu Ni nuksi kubwa ndani ya nchi yetu.1. Simon Sirro
2. Jaji Mutungi
3. Hassani Abbas - Mfamaji wa Serikali
4. Ibrahim Juma
5. Wilson Mahera
6. Semitesticles Kaijage
7. Doto James
8. Jaji Feleshi
9. DPP Mganga
Hawa stahili yao ni gerezani na kufanyishwa kazi ngumu
Polepole aachie nafasi ya Nape na,Kinana arudi kwenye nafasi yake.Nafamu upepo sio mzuri na mpaka muda huu Kuna people zinapumlia mashine. Mm mwaka huu ata watu wote wakatae barabarani nitaingia. Miaka 30 ya umri wangu elimu yangu unaenda kufanya interview ya kazi serikalini unawapita wote Ila wakigudua una kadi ya upinzani wanakuengua. This time around imekula kwao nasema Tena imekula kwao wafanye watakalo wengine ata baba zetu hatukuwai kuwaona tunaenda kuzeeka na hiki chama? By the way ikitokea tumechukua Nchi Tuanze na wakuu gani wa taasisi kuwagawana.
"WAPINZANI NI MBWA KOKO...".Mr. Blue (Musician)Kuna nchi nje ya hii ya tz au?
Kama wewe hapaMnatukosea heshima Watanzania, yaani ii nchi iongozwe na kiongozi anaye shabikia mapenzi ya jinsia mmoja!! Bado Watanzania hatujafikia huko.
Wengine watakimbia wenyewe, mfano mmoja ni Job Ndugai. Usishangae hadi sasa yuko mguu mmoja ndani mwingine nje!1. Simon Sirro
2. Jaji Mutungi
3. Hassani Abbas - Mfamaji wa Serikali
4. Ibrahim Juma
5. Wilson Mahera
6. Semitesticles Kaijage
7. Doto James
8. Jaji Feleshi
9. DPP Mganga
Hawa stahili yao ni gerezani na kufanyishwa kazi ngumu