Mfano tumechukua Nchi Tuanze na nani kumfukuza kwenye taasisi kubwa?

Wanawaza kuchukua nchi huku hawana Mwenyekiti wa Mtaa/ Kijiji hata mmoja nchi nzima, hadi sasa hivi kuna madiwani 28% nchi nzima wamepita bila kupingwa, ongezea na wabunge 10+....Kadema mna vioja nyie!
 
Mnatukosea heshima Watanzania, yaani ii nchi iongozwe na kiongozi anaye shabikia mapenzi ya jinsia mmoja!! Bado Watanzania hatujafikia huko.
Me nadhani ifike mahara wanaCCM muwe mnaona haibu juu yahii propaganda yamashoga,maana iko wazi kabsa kinara wahili Ni CCM.nchi hii toka uhuru inaongozwa CCM iliotokana na Tanu.hili swala lamashoga hamkuliona?Nani anaweza ntajia au kuniwekea orodha ya mashoha walio wahi kamatwa nakushtakiwa?.Vijana wenu wachama chenu ndio wanazdi kufanya mambo yanayo ashiria ushoga.Nani nchi hamjui diamond Kama nmwanachama waCcm,Alpo toboa pua,kuvaa vikuku mguun,toboa masikio,kuvaa sket Nani alikemea?Nani aliwahi kemea wasanii wetu kusuka nywere au kuvaa eleni.hao wanao amasisha mashoha sindio haohao mnazunguka nao majukwaani wawaombee kura.ili CCM mliwahi kemea yale matangazo yamaaunt sjui Nan?.Nashangaa Sana watu wanaoshndwa kuwajbu ila ukweli nkwamba nyinyi ndio mlio leta ushoga naushoga mnaupenda ndio maana adi leo mnazunguka namashoga kwenye kampeni zenu.nandio maana makonda alpo jarbu kufatilia ili mlimpnga nawaziri akasimama kwenye vyombo vyahabar akasema Kupnga ushoga kwamkuu wamkoa wadar sio Tamko la serikali
 
Nchi ipi ? Au nchi ya Jf! Acha mihemko ya siasa ndugu! Kabla hujaingia barabarani siku hiyo waambie viongozi wawe mstari wa mbele!.
Kauli yako haina tofauti kabisa na kauli walizokuwa wanatoa viongozi wa Iraq na Libya wakati wa vita. Iraq walikuwa wakiutangazia Ulimwengu kuwa wametoa kichapo kwa Marekani mpaka wamarekani wamepoteana kwenye uwanja wa vita. Lakini mwisho wa siku Sadam aliokotwa kwenye shimo kama panya.

Gadaffi nae aliwaita wananchi wake kuwa ni mende hawawezi kumfanya lolote mwisho wa siku aliokotwa kwenye mtaro wa maji machafu.

Kwahiyo hata wewe kusema upinzani watapata urais wa twitter sio kauli ngeni ila ukija kushtuka utawakuta Ikulu.

Sent from my A37f using JamiiForums mobile app
 
Mnatukosea heshima Watanzania, yaani ii nchi iongozwe na kiongozi anaye shabikia mapenzi ya jinsia mmoja!! Bado Watanzania hatujafikia huko.
Kama kweli unayachukia mapenzi ya jinsia moja mbona sasa unaruhusu wanaume wenzio wanakulisha hapa mjini unadhani wanataka nini kwako kama sio?

Au wewe ni sawa mwizi akiona mwizi mwingine kakamatwa mtaani anakuwa wa kwanza kumpiga na kusema tumuue kumbe naye ni mwizi.

Sent from my A37f using JamiiForums mobile app
 
Nafamu upepo sio mzuri na mpaka muda huu Kuna people zinapumlia mashine. Mm mwaka huu ata watu wote wakatae barabarani nitaingia. Miaka 30 ya umri wangu elimu yangu unaenda kufanya interview ya kazi serikalini unawapita wote Ila wakigudua una kadi ya upinzani wanakuengua. This time around imekula kwao nasema Tena imekula kwao wafanye watakalo wengine ata baba zetu hatukuwai kuwaona tunaenda kuzeeka na hiki chama? By the way ikitokea tumechukua Nchi Tuanze na wakuu gani wa taasisi kuwagawana.
Unajua kuna aina ngapi za usahili. Na Lengo la usahihi ni nini?
 
Wanawaza kuchukua nchi huku hawana Mwenyekiti wa Mtaa/ Kijiji hata mmoja nchi nzima, hadi sasa hivi kuna madiwani 28% nchi nzima wamepita bila kupingwa, ongezea na wabunge 10+....Kadema mna vioja nyie!
Lissu alisema akifanikiwa kuwa rais ataitisha upya uchaguzi wa serikali za mitaa....una jingine?
 
Nafamu upepo sio mzuri na mpaka muda huu Kuna people zinapumlia mashine. Mm mwaka huu ata watu wote wakatae barabarani nitaingia. Miaka 30 ya umri wangu elimu yangu unaenda kufanya interview ya kazi serikalini unawapita wote Ila wakigudua una kadi ya upinzani wanakuengua. This time around imekula kwao nasema Tena imekula kwao wafanye watakalo wengine ata baba zetu hatukuwai kuwaona tunaenda kuzeeka na hiki chama? By the way ikitokea tumechukua Nchi Tuanze na wakuu gani wa taasisi kuwagawana.
Achana na hizi mambo Lissu sio mtu wa visasi tunaka Lissu ajenge nchi tusonge mbele
 
Nafamu upepo sio mzuri na mpaka muda huu Kuna people zinapumlia mashine. Mm mwaka huu ata watu wote wakatae barabarani nitaingia. Miaka 30 ya umri wangu elimu yangu unaenda kufanya interview ya kazi serikalini unawapita wote Ila wakigudua una kadi ya upinzani wanakuengua. This time around imekula kwao nasema Tena imekula kwao wafanye watakalo wengine ata baba zetu hatukuwai kuwaona tunaenda kuzeeka na hiki chama? By the way ikitokea tumechukua Nchi Tuanze na wakuu gani wa taasisi kuwagawana.
Katiba iliyopo ndio ishughulikiwe kwanza, halafu Magu awekwe kolokoloni
 
Nafamu upepo sio mzuri na mpaka muda huu Kuna people zinapumlia mashine. Mm mwaka huu ata watu wote wakatae barabarani nitaingia. Miaka 30 ya umri wangu elimu yangu unaenda kufanya interview ya kazi serikalini unawapita wote Ila wakigudua una kadi ya upinzani wanakuengua. This time around imekula kwao nasema Tena imekula kwao wafanye watakalo wengine ata baba zetu hatukuwai kuwaona tunaenda kuzeeka na hiki chama? By the way ikitokea tumechukua Nchi Tuanze na wakuu gani wa taasisi kuwagawana.

VISASI NI VINGI SANA.
#NOHATENOFEAR
 
Mbona una msahau Ndugai ? Huyu Ni nuksi kubwa ndani ya nchi yetu.

Huyu ni kumfikisha Mahakamani mara kwa makosa yafuatayo.

Mosi,Kuwalipa Lijualikali,Silinde..... na wabunge wote waliolipwa kiinua mgongo wakati walishajiondoa CDM .Kesi yake itakuwa nzuri kweli kweli kuhujumu uchumi hakuna dhamana.
 
Nafamu upepo sio mzuri na mpaka muda huu Kuna people zinapumlia mashine. Mm mwaka huu ata watu wote wakatae barabarani nitaingia. Miaka 30 ya umri wangu elimu yangu unaenda kufanya interview ya kazi serikalini unawapita wote Ila wakigudua una kadi ya upinzani wanakuengua. This time around imekula kwao nasema Tena imekula kwao wafanye watakalo wengine ata baba zetu hatukuwai kuwaona tunaenda kuzeeka na hiki chama? By the way ikitokea tumechukua Nchi Tuanze na wakuu gani wa taasisi kuwagawana.
Nilidhani mnawaza kuendeleza Nchi, kumbe mnawaza kukomoa watu na kulipa visasi! Nimejua kwa nini wapiga kura wanawapa kura zisizotosha!
 
Lisu kakiri wazi kwamba yeye hana shida na magasho!

Sasa haya matusi yako unamtukana nani?

Lisu kawambia atawaacha mjivinjari kweye faragha zenu.
Sasa ukitaka Lissu awafanye nini awaue?mbona JPM hajawaua au kuwafunga?.
 
Sikubaliani na nyie kama tundu lisu akiingia madarakani aachane na mambo ya visasi kabisa na wote walio mfanyia ubaya awaache wawe guru kabisa na ashugulike na wale walio onewa magerezani
1. Simon Sirro
2. Jaji Mutungi
3. Hassani Abbas - Mfamaji wa Serikali
4. Ibrahim Juma
5. Wilson Mahera
6. Semitesticles Kaijage
7. Doto James
8. Jaji Feleshi
9. DPP Mganga

Hawa stahili yao ni gerezani na kufanyishwa kazi ngumu
 
Mnatukosea heshima Watanzania, yaani ii nchi iongozwe na kiongozi anaye shabikia mapenzi ya jinsia mmoja!! Bado Watanzania hatujafikia huko.
images (78).jpeg

images (79).jpeg
 
Lissu ni mpango wa Mungu atawasamehe wote. Kikubwa katiba ibadilishwe kila mtu afuate sheria
 
Sikubaliani na nyie kama tundu lisu akiingia madarakani aachane na mambo ya visasi kabisa na wote walio mfanyia ubaya awaache wawe guru kabisa na ashugulike na wale walio onewa magerezani
Sio visasi lakini huwezi acha watu wanaokula hazina yetu kama kibubu cha familia. Lazima wawe mfano
 
Wanawaza kuchukua nchi huku hawana Mwenyekiti wa Mtaa/ Kijiji hata mmoja nchi nzima, hadi sasa hivi kuna madiwani 28% nchi nzima wamepita bila kupingwa, ongezea na wabunge 10+....Kadema mna vioja nyie!
Nadhani inajua kwa nn mmekuwa na asilimia hizo, usijifanye hujui
 
Back
Top Bottom