Mfano tumechukua Nchi Tuanze na nani kumfukuza kwenye taasisi kubwa?

Mfano tumechukua Nchi Tuanze na nani kumfukuza kwenye taasisi kubwa?

Nafamu upepo sio mzuri na mpaka muda huu Kuna people zinapumlia mashine. Mm mwaka huu ata watu wote wakatae barabarani nitaingia. Miaka 30 ya umri wangu elimu yangu unaenda kufanya interview ya kazi serikalini unawapita wote Ila wakigudua una kadi ya upinzani wanakuengua. This time around imekula kwao nasema Tena imekula kwao wafanye watakalo wengine ata baba zetu hatukuwai kuwaona tunaenda kuzeeka na hiki chama? By the way ikitokea tumechukua Nchi Tuanze na wakuu gani wa taasisi kuwagawana.
Kwenye interview ni kweli uliwapita wote???

Unatumia njia gani kujua uwezo wa mwenzio uliompita??

Hata chadema wakipita sidhani kama watakua na matumizi na wewe[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Sikubaliani na nyie kama tundu lisu akiingia madarakani aachane na mambo ya visasi kabisa na wote walio mfanyia ubaya awaache wawe guru kabisa na ashugulike na wale walio onewa magerezani
Hapana, Hawa watu wameonea watu sana Lazima waadhibiwe!
 
Me nadhani ifike mahara wanaCCM muwe mnaona haibu juu yahii propaganda yamashoga,maana iko wazi kabsa kinara wahili Ni CCM.nchi hii toka uhuru inaongozwa CCM iliotokana na Tanu.hili swala lamashoga hamkuliona?Nani anaweza ntajia au kuniwekea orodha ya mashoha walio wahi kamatwa nakushtakiwa?.Vijana wenu wachama chenu ndio wanazdi kufanya mambo yanayo ashiria ushoga.Nani nchi hamjui diamond Kama nmwanachama waCcm,Alpo toboa pua,kuvaa vikuku mguun,toboa masikio,kuvaa sket Nani alikemea?Nani aliwahi kemea wasanii wetu kusuka nywere au kuvaa eleni.hao wanao amasisha mashoha sindio haohao mnazunguka nao majukwaani wawaombee kura.ili CCM mliwahi kemea yale matangazo yamaaunt sjui Nan?.Nashangaa Sana watu wanaoshndwa kuwajbu ila ukweli nkwamba nyinyi ndio mlio leta ushoga naushoga mnaupenda ndio maana adi leo mnazunguka namashoga kwenye kampeni zenu.nandio maana makonda alpo jarbu kufatilia ili mlimpnga nawaziri akasimama kwenye vyombo vyahabar akasema Kupnga ushoga kwamkuu wamkoa wadar sio Tamko la serikali
Huna akili timamu
 
Wafanyakazi wote huwa wanabaki kwenye nafasi kama kawaida then kulingana na katiba kuna nafasi ndo unaweza kubadili watu na siyo kuwaachisha kazi.
 
Tunafukuza wakubwa wote wa Takukuru,TISS,jeshi la polisi,wakurugenzi wa Tra,na waandamizi wote ,tunastaafisha kwa manufaa ya umma,
Baada ya hapo inaundwa tume ya maridhiano Kama ile iliyoundwa Afrika kusini,waliotenda maovu wote,wale wasiojurikana,polisi,TISS,waje mbele wakutanishwe na wahanga,watubu,waombe msamaha,nchi ipone tusonge,mbele
 
Nafamu upepo sio mzuri na mpaka muda huu Kuna people zinapumlia mashine. Mm mwaka huu ata watu wote wakatae barabarani nitaingia. Miaka 30 ya umri wangu elimu yangu unaenda kufanya interview ya kazi serikalini unawapita wote Ila wakigudua una kadi ya upinzani wanakuengua. This time around imekula kwao nasema Tena imekula kwao wafanye watakalo wengine ata baba zetu hatukuwai kuwaona tunaenda kuzeeka na hiki chama? By the way ikitokea tumechukua Nchi Tuanze na wakuu gani wa taasisi kuwagawana.
Chadema walisema wataunda kamati. Ya maridhiano.
Hakuna MTU atakayefukuzwa kazi.
 
Nadhani tuanze na yule mtoto wa dada. Dotto Jemshi. Asije akakimbia na kile chungu chetu cha wali nyama kusikojulikana mara tu baada ya jahazi kuzama.

Tutakufa njaa!!
Well done , wewe utakuwa mchaga, cha kwanza umekimbilia ni Hazina.
 
Nafamu upepo sio mzuri na mpaka muda huu Kuna people zinapumlia mashine. Mm mwaka huu ata watu wote wakatae barabarani nitaingia. Miaka 30 ya umri wangu elimu yangu unaenda kufanya interview ya kazi serikalini unawapita wote Ila wakigudua una kadi ya upinzani wanakuengua. This time around imekula kwao nasema Tena imekula kwao wafanye watakalo wengine ata baba zetu hatukuwai kuwaona tunaenda kuzeeka na hiki chama? By the way ikitokea tumechukua Nchi Tuanze na wakuu gani wa taasisi kuwagawana.
1. IGP Sirro.
2 Diwani Athumani
3.DPP Biswalo Mganga.
4. AG Adelardus Kilangi.
5. Katibu wa Bunge Kigaigai
6.Mkurugenzi wa TCRA.
7.Mkurugenzi wa Idara ya Habari Maelezo.
8. Mkurugenzi wa TBC
9.Msajili wa vyama vya Siasa.
10. Mkurugenzi wa Tume ya Uchaguzi.


Sent from my SM-A105F using JamiiForums mobile app
 
1. Simon Sirro
2. Jaji Mutungi
3. Hassani Abbas - Mfamaji wa Serikali
4. Ibrahim Juma
5. Wilson Mahera
6. Semitesticles Kaijage
7. Doto James
8. Jaji Feleshi
9. DPP Mganga

Hawa stahili yao ni gerezani na kufanyishwa kazi ngumu
Hao wa mahakama Judge Ibrahim Juma na Judge Feleshi huwezi kuwatoa kirahisi hivyo wanalindwa na katiba.

After all hawajafanya lolote baya kustahili kuondolewa kwenye nafasi zao.

Sent from my SM-A105F using JamiiForums mobile app
 
Lisu kakiri wazi kwamba yeye hana shida na magasho!

Sasa haya matusi yako unamtukana nani?

Lisu kawambia atawaacha mjivinjari kweye faragha zenu.
Mtatoa propaganda zote mwaka huu!!! Lissu kawashika pabaya dadekiiiii 😂
 
Ni interview ipi ya serikali ambayo wewe ulifanya ukaambiwa utoe kadi za vyama??
 
Hao wa mahakama Judge Ibrahim Juma na Judge Feleshi huwezi kuwatoa kirahisi hivyo wanalindwa na katiba.

After all hawajafanya lolote baya kustahili kuondolewa kwenye nafasi zao.

Sent from my SM-A105F using JamiiForums mobile app
Mahakama chini Profesa Juma imetumika sana kutunyanyasa raia aisee, hawa si wa kuachwa
 
Mnatukosea heshima Watanzania, yaani ii nchi iongozwe na kiongozi anaye shabikia mapenzi ya jinsia mmoja!! Bado Watanzania hatujafikia huko.
Badilisheni Katiba, kama hamna huo Ujasiri shut up meeen
 
Nadhani tuanze na yule mtoto wa dada. Dotto Jemshi. Asije akakimbia na kile chungu chetu cha wali nyama kusikojulikana mara tu baada ya jahazi kuzama.

Tutakufa njaa!!

[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]mtoto wa dada afu hana jina la ukoo yule ivi kulwa wake yuko wapi???
 
Ni interview ipi ya serikali ambayo wewe ulifanya ukaambiwa utoe kadi za vyama??
Mm sio mfia chama kiasi hicho braza interview za serikali sio kila anayekuja kufanya interview ni mtafuta ajira pale Kuna kuanzi usalama wa taifa, uamiaji na vyombo vingine muhimu. Wao kazi yao nikuchunguza tu. Mwambie ata mwanao awe makini na hizi interview za serikali.
 
Back
Top Bottom