Mfano wa barua ya kuvutia ya maombi ya ajira iliyo andikwa na Bright and Genius Editors

Boss hiyo tunakufupishia tu ukihitaji, hapo tunaonyesha content ya vitu vya msingi. Mteja ndio husema anataka barua ya page ngapi na anataka iwe na content zipi.
Kwahiyo ndugu kuna wateja wa kuwaandikia barua ya kazi? Sasa kama mtu hawezi kuandika barua hiyo kazi ataweza? Kweli hii elimu yetu ni ya hovyo kama tumefikia huku.
 
Kazi zipi? Umesomea kuandika Application letter?

Kuandika Application letter??

Njaa itakuua.

Kama vipi nenda Uarabuni Kuna kazi za kufanya.
Hatuwezi kubishana nawewe, wala hatuwezi kutukanana nawewe. Tunaomba tuishie hapa tufanye umeshinda. Jambo la msingi tunaomba heshimu kazi yetu kama haikupendezi nyamaza.
 
Kwahiyo ndugu kuna wateja wa kuwaandikia barua ya kazi? Sasa kama mtu hawezi kuandika barua hiyo kazi ataweza? Kweli hii elimu yetu ni ya hovyo kama tumefikia huku.
Mbona hii huduma ipo kote duniani, USA, UK, duniani kote hata CV tunaandika. Wala sio jambo baya. Unaweza kuwa kuwa CV yako haijakaa vizuri tunakuwekea professional zaidi. Ondoa hofu boss, elimu ipo palepale wala hupungukiwi na maarifa yako.
 
Safi ila ni ndefu
Inapaswa kuwa fupi na to the point mkuu
 

Self introduction haitoshi. sema wewe kama ni male of female pia taja na umri.

Example:
My name is B & G editors male, Tanzanian, 28 Years old. I am writing................




Badala ya kusema mambo ya complited ni bora ukasema nini unacho.

Example:-
I posses Bachelor degree of commerce in accounting from University of Dodoma .........


Kazi njema
 
Kuna mwamba ataikopi kama ilivyo akibadili jina lake tu. Hapo anaomba kazi kampuni nyingine kabisa tofauti na TRA na kuituma.

Kuna email ya kuomba kazi nilishawahi soma jamaa kaanza na inroduction ya 'i am a young female', halafu ni kidume.
 

Nice comment
 
Qonkii
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…