Mfano wa barua ya kuvutia ya maombi ya ajira iliyo andikwa na Bright and Genius Editors

Mfano wa barua ya kuvutia ya maombi ya ajira iliyo andikwa na Bright and Genius Editors

Ukijifunza kuheshimu kazi za watu ndipo utaweza fanikiwa. Naomba tuheshimiane kwenye kazi zetu.
😁😁😁🀐vijana bana.... sasa wewe uko verified (kwa maana ya hiyo kampuni) unakomaa kubishana na robots (anonymous) na unashupaza kabisa mshipa wa shingo😁😁... Bro/Sister ur wasting time. Amini unachokifanya na kubali kukosolewa. Hii platform usidhani wote vilaza. Wapo watu proficient mara million yako na wana uzoefu wa miaka na elimu za kutosha. More likely wanafanya zaidi yako. So kama umeamua kuji'expose/jitangaza kwamba unajua kitu fulani basi accept challenges +/-...


ILA KIUKWELI BARUA NDEFU SANA. WE, DIRECTORS OR THEM HR's NO TIME TO READ ALL CONTENTS OF 1000APPS OF THE SAME...
 
Kwa akili yako ndogo unadhani HRs huwa waasoma barua za watu 55,000 waomba kazi?
Ni kweli awasomi ila kwa nchi zilizoendelea wanascreen kwa kutumia COMPUTER na kudiscard cv na cover letter zenye mapungufu zinazobaki wanaanza kuzipitia
 
Bright and Genius Editors
P.O. Box 3456,
Dar es Salaam
Phone: 0687746471
Email: bandg.editors@gmail.com
09 February 2025

Commissioner General,
Tanzania Revenue Authority (TRA)
P.O. Box 11491,
Mchafukoge - Dar Es Salaam.

Dear Sir,
RE: APPLICATION FOR THE POSITION OF LIBRARY ASSISTANT II
I am writing to apply for the position of Library Assistant II as advertised by Tanzania Revenue Authority (TRA). I am highly interested in this opportunity as it aligns with my skills and passion for assisting students and staff in accessing educational resources.
I hold a Diploma in Library Studies from BUSINESS IDEAS ACADEMY (BIA) and have 3 years of experience working in library services. I am proficient in online catalog systems, library database management, and various clerical and computer-related tasks. Additionally, I have experience in assisting library users, processing periodicals, organizing books, and handling the circulation of library materials efficiently.
I am a disciplined, hardworking, and dedicated professional. I strongly believe that my knowledge and commitment to supporting students and faculty in accessing learning resources will be a great contribution to your institution. I am eager to work diligently to ensure the provision of high-quality library services.
I appreciate your time and consideration of my application. I am available for an interview at your earliest convenience.
Yours sincerely,
B.G.Editors
Bright and Genius Editors

View attachment 3230054

BRIGHT AND GENIUS EDITORS

TUNAANDIKA NA KUHARIRI DOCUMENTS ZIFUATAZO:

πŸ‘‰1. Business Proposal/Plan πŸ’Ό,

πŸ‘‰2. Katiba za Vikundi πŸ“œ,

πŸ‘‰3. Cover Letter na CV/Resume πŸ“„,

πŸ‘‰4. Website Content 🌐,

πŸ‘‰5. Barua za Wadhamini βœ‰οΈ,

πŸ‘‰6. Study Plan na Statement of Purpose πŸ“š,

πŸ‘‰7. Personal Statement πŸ“,

πŸ‘‰8. Mikataba πŸ“‘,

LAKINI PIA TUNAHARIRI DOCUMENTS ZIFUATAZO:
πŸ‘‰9. Thesis πŸŽ“,

πŸ‘‰10. Research paper πŸ“Š,

πŸ‘‰11. Manuscript πŸ“,

πŸ‘‰12. Project, na dissertation πŸ“‘,

LAKINI PIA TUNATOA HUDUMA ZIFUATAZO:
πŸ‘‰13. Data analysis kwa kutumia softwares mbalimbali bila kusahau machine learning πŸ“ˆ,

πŸ‘‰14. Kufanya maombi ya vyuo na scholarship nchi zote duniani 🌍,

πŸ‘‰15. Kuomba vibali vya kufanya biashara ya mafuta β›½,

πŸ‘‰16. Kuomba vibali vya ujenzi wa vituo vya mafuta 🏭,

πŸ‘‰17. Kuandaa michoro ya vituo vya mafuta πŸ–ŒοΈ,

πŸ‘‰18. Kutoa ushauri jinsi ya kuanzisha na kufanya biashara ya mafuta na biashara zingine πŸ’‘,

πŸ“šπŸ‘‰20. Tunauza Vitabu vya Kujifunza Ujuzi, Biashara Mbalimbali na Ujasiriamali! πŸ“š

πŸ‘‰21. Kusajili; Majina ya Kampuni na majina ya Biashara BRELA. πŸ“‘

πŸ‘‰22. Kuomba TIN namba na leseni za Biashara. πŸ“‹

πŸ‘‰23. Kufanya Malipo Online Kupitia Visa Card, Mastercard, Airtel Money, Mpesa na Tigo Pesa. πŸ’³

πŸ‘‰25. Kusaidia kuandaa documents za maombi ya mikopo

Unaweza kutupata kupitia tovuti yetu:

🌐 Kuwasiliana nasi kupitia
☎️ Whatsapp kwa namba 0612607426 au tupigie 0687746471
πŸ“§ Kupitia barua pepe bandg.editors@gmail.com.
Mkuu umekosa tena kosa kubwa official letter haindikwi hivyo mkuu ni hapo umeacha kumbu kumbu no na tarehe ya tangazo ni vitu muhimu sana kwenye barua
 
Content nyingine kwenye hiyo barua haikuwa na ulazima.
 
Back
Top Bottom