Mfano wa barua ya kuvutia ya maombi ya ajira iliyo andikwa na Bright and Genius Editors

Hakuna barua hapo, utawakamata freshers ila kwa mankokodi sahau. Cover letter inatakiwa useme utaisaidia nini kampuni hizo blah blah zingine weka kwenye CV
Tunaandika barua kulingana na mahitaji ya mtu. Ingependeza utupime tupe taarifa zako tukuandikie barua yako kulingana na unavyohitaji wewe alafu tuipost hapa. Na hakika utaipenda sana. Hatubahatishi boss. Huo tuliotoa ni mfano tu wa barua.
 
Shukrani Mkuu, ila utakubaliana na mimi kuwa kila mtu ana art yake, yaani utabadili maneno ila art yako itabaki hivyo hivyo, hicho ndio nachoongelea mimi.

Bado nashauri jikite kwenye maeneo mengine Mkuu, jaribu kuleta uzi za hata matangazo kwa njia ya simulizi, makala, hotuba, jaribu hata.kubadili hotuba ya Mbowe pale Mwanza uiwekehapa useme alitakiwa iandikwe hivi kwa kutoa neno hili na kuweka hili kwa sababu hii na hii.

Sijui kama umenielewa ila jobless hawana hela ya kulipia barua za maombi ya kazi kwa wingi huo Mkuu.

Au chukua taarifa ya habari ya kituo fulani, irekebishe yotena onesha uliyoyarekebisha na sababu za kurekebisa usisahau faida zake pia, kisha tag wadau au page za vyombo husika, unaweza ukapata deal nzuri sana.

Jaribu kuwaza na hili Mkuu.
Ni vyema ukajifunza kuheshimu kazi za watu boss. Hii ni kazi yetu kama hujaridhishwa nayo nenda mahali pengine wanapotoa huduma kama hizi. Mteja wetu hatumkandamizi kuchagua huduma.
 
Hold on Mkuu, mbona nimekupa ushauri vizuri kabisa Mkuu kwa kuzingatia na kuheshimu kazi yako. Ina maana hata ukiniandikia hiyo barua nikaweka wazo langu utasema hivi hivi kuwa kazi yako haiheshimiwi Mkuu?

Anyway nimesikitika kuona unajiona upo sahihi kwenye unayofanya na haupo tayari kupokea ushauri wala kubadilika.

Kila la heri Mkuu.
 
BRIGHT AND GENIUS EDITORS

TUNAANDIKA NA KUHARIRI DOCUMENTS ZIFUATAZO:

👉1. Business Proposal/Plan 💼,

👉2. Katiba za Vikundi 📜,

👉3. Cover Letter na CV/Resume 📄,

👉4. Website Content 🌐,

👉5. Barua za Wadhamini ✉️,

👉6. Study Plan na Statement of Purpose 📚,

👉7. Personal Statement 📝,

👉8. Mikataba 📑,

LAKINI PIA TUNAHARIRI DOCUMENTS ZIFUATAZO:
👉9. Thesis 🎓,

👉10. Research paper 📊,

👉11. Manuscript 📝,

👉12. Project, na dissertation 📑,

LAKINI PIA TUNATOA HUDUMA ZIFUATAZO:
👉13. Data analysis kwa kutumia softwares mbalimbali bila kusahau machine learning 📈,

👉14. Kufanya maombi ya vyuo na scholarship nchi zote duniani 🌍,

👉15. Kuomba vibali vya kufanya biashara ya mafuta ⛽,

👉16. Kuomba vibali vya ujenzi wa vituo vya mafuta 🏭,

👉17. Kuandaa michoro ya vituo vya mafuta 🖌️,

👉18. Kutoa ushauri jinsi ya kuanzisha na kufanya biashara ya mafuta na biashara zingine 💡,

📚👉20. Tunauza Vitabu vya Kujifunza Ujuzi, Biashara Mbalimbali na Ujasiriamali! 📚

👉21. Kusajili; Majina ya Kampuni na majina ya Biashara BRELA. 📑

👉22. Kuomba TIN namba na leseni za Biashara. 📋

👉23. Kufanya Malipo Online Kupitia Visa Card, Mastercard, Airtel Money, Mpesa na Tigo Pesa. 💳

👉25. Kusaidia kuandaa documents za maombi ya mikopo

Unaweza kutupata kupitia tovuti yetu:

🌐 Kuwasiliana nasi kupitia
☎️ Whatsapp kwa namba 0612607426 au tupigie 0687746471
📧 Kupitia barua pepe bandg.editors@gmail.com.
 
It's too corny.

If I am the hiring manager, I won't go past the 1st paragraph.
It's giving the vibes of 'nikinywa maji nakuona kwenye glass'.

In the corporate world, first impression matters the most.
 
BRIGHT AND GENIUS EDITORS

TUNAANDIKA NA KUHARIRI DOCUMENTS ZIFUATAZO:

👉1. Business Proposal/Plan 💼,

👉2. Katiba za Vikundi 📜,

👉3. Cover Letter na CV/Resume 📄,

👉4. Website Content 🌐,

👉5. Barua za Wadhamini ✉️,

👉6. Study Plan na Statement of Purpose 📚,

👉7. Personal Statement 📝,

👉8. Mikataba 📑,

LAKINI PIA TUNAHARIRI DOCUMENTS ZIFUATAZO:
👉9. Thesis 🎓,

👉10. Research paper 📊,

👉11. Manuscript 📝,

👉12. Project, na dissertation 📑,

LAKINI PIA TUNATOA HUDUMA ZIFUATAZO:
👉13. Data analysis kwa kutumia softwares mbalimbali bila kusahau machine learning 📈,

👉14. Kufanya maombi ya vyuo na scholarship nchi zote duniani 🌍,

👉15. Kuomba vibali vya kufanya biashara ya mafuta ⛽,

👉16. Kuomba vibali vya ujenzi wa vituo vya mafuta 🏭,

👉17. Kuandaa michoro ya vituo vya mafuta 🖌️,

👉18. Kutoa ushauri jinsi ya kuanzisha na kufanya biashara ya mafuta na biashara zingine 💡,

📚👉20. Tunauza Vitabu vya Kujifunza Ujuzi, Biashara Mbalimbali na Ujasiriamali! 📚

👉21. Kusajili; Majina ya Kampuni na majina ya Biashara BRELA. 📑

👉22. Kuomba TIN namba na leseni za Biashara. 📋

👉23. Kufanya Malipo Online Kupitia Visa Card, Mastercard, Airtel Money, Mpesa na Tigo Pesa. 💳

👉25. Kusaidia kuandaa documents za maombi ya mikopo

Unaweza kutupata kupitia tovuti yetu:

🌐 Kuwasiliana nasi kupitia
☎️ Whatsapp kwa namba 0612607426 au tupigie 0687746471
📧 Kupitia barua pepe bandg.editors@gmail.com.
Huu ni ujinga.Kazi niombe mimi halafu niombe ninyi mniandikie?Uzuzu plus+.
 
Huyu meneja huwa ana kaharufu ka utapeli.
Screenshot_20250209_091949_WPS Office.jpg
 
Siwezi kuja kwenu mniandikie.Mimi siyo kilema.Walimu wangu watalia sana.
Sawa boss kuandikiwa barua sio kwamba unakua hujui. Kuna wakati unakua huna muda una kazi nyingi inabidi utafute watu wakusaidie ili uokoe muda.

Hata viongozi wanaandikiwa hotuba. Hata wakaguzi wa mahesabu ya serikali wana kodi makampuni ya kuwakagulia na kuandaa ripoti. Kiufupi tunategemeana huwezi kufanya kila kitu peke yako.
 
Hivi meneja,kwa akili zangu kweli ndiyo nijilegeze mniandikie barua ya maombi ya kazi?Hapana.Mtawaandikia wale wazembe waliokuwa wananifuatia namba darasani.
 
Back
Top Bottom