Meneja Wa Makampuni
JF-Expert Member
- Jul 7, 2020
- 7,899
- 10,415
- Thread starter
-
- #61
Tunaandika barua kulingana na mahitaji ya mtu. Ingependeza utupime tupe taarifa zako tukuandikie barua yako kulingana na unavyohitaji wewe alafu tuipost hapa. Na hakika utaipenda sana. Hatubahatishi boss. Huo tuliotoa ni mfano tu wa barua.Hakuna barua hapo, utawakamata freshers ila kwa mankokodi sahau. Cover letter inatakiwa useme utaisaidia nini kampuni hizo blah blah zingine weka kwenye CV
Ni vyema ukajifunza kuheshimu kazi za watu boss. Hii ni kazi yetu kama hujaridhishwa nayo nenda mahali pengine wanapotoa huduma kama hizi. Mteja wetu hatumkandamizi kuchagua huduma.Shukrani Mkuu, ila utakubaliana na mimi kuwa kila mtu ana art yake, yaani utabadili maneno ila art yako itabaki hivyo hivyo, hicho ndio nachoongelea mimi.
Bado nashauri jikite kwenye maeneo mengine Mkuu, jaribu kuleta uzi za hata matangazo kwa njia ya simulizi, makala, hotuba, jaribu hata.kubadili hotuba ya Mbowe pale Mwanza uiwekehapa useme alitakiwa iandikwe hivi kwa kutoa neno hili na kuweka hili kwa sababu hii na hii.
Sijui kama umenielewa ila jobless hawana hela ya kulipia barua za maombi ya kazi kwa wingi huo Mkuu.
Au chukua taarifa ya habari ya kituo fulani, irekebishe yotena onesha uliyoyarekebisha na sababu za kurekebisa usisahau faida zake pia, kisha tag wadau au page za vyombo husika, unaweza ukapata deal nzuri sana.
Jaribu kuwaza na hili Mkuu.
Hold on Mkuu, mbona nimekupa ushauri vizuri kabisa Mkuu kwa kuzingatia na kuheshimu kazi yako. Ina maana hata ukiniandikia hiyo barua nikaweka wazo langu utasema hivi hivi kuwa kazi yako haiheshimiwi Mkuu?Ni vyema ukajifunza kuheshimu kazi za watu boss. Hii ni kazi yetu kama hujaridhishwa nayo nenda mahali pengine wanapotoa huduma kama hizi. Mteja wetu hatumkandamizi kuchagua huduma.
Duuh!! Yaani hata application letter wanaandikiwa??Boss hiyo tunakufupishia tu ukihitaji, hapo tunaonyesha content ya vitu vya msingi. Mteja ndio husema anataka barua ya page ngapi na anataka iwe na content zipi.
Barua ndefu hivi mkuu[emoji23]
Maombi ya kazi Kama anaomba unduguBarua ndefu hivi mkuu[emoji23]
mmmmhhhhοΌMbna hujataja GPA yako kali mkuu kwenye barua
Mpagilio wa address ni aje?Barua Ndefu Sana hii Mkuu[emoji23][emoji23][emoji706]
Nimeshangaa. WATAKUWA NA MUDA WA KUSOMA MAELEZO YOTE HAYO?Barua ndefu hivi mkuu[emoji23]
Huu ni ujinga.Kazi niombe mimi halafu niombe ninyi mniandikie?Uzuzu plus+.BRIGHT AND GENIUS EDITORS
TUNAANDIKA NA KUHARIRI DOCUMENTS ZIFUATAZO:
π1. Business Proposal/Plan πΌ,
π2. Katiba za Vikundi π,
π3. Cover Letter na CV/Resume π,
π4. Website Content π,
π5. Barua za Wadhamini βοΈ,
π6. Study Plan na Statement of Purpose π,
π7. Personal Statement π,
π8. Mikataba π,
LAKINI PIA TUNAHARIRI DOCUMENTS ZIFUATAZO:
π9. Thesis π,
π10. Research paper π,
π11. Manuscript π,
π12. Project, na dissertation π,
LAKINI PIA TUNATOA HUDUMA ZIFUATAZO:
π13. Data analysis kwa kutumia softwares mbalimbali bila kusahau machine learning π,
π14. Kufanya maombi ya vyuo na scholarship nchi zote duniani π,
π15. Kuomba vibali vya kufanya biashara ya mafuta β½,
π16. Kuomba vibali vya ujenzi wa vituo vya mafuta π,
π17. Kuandaa michoro ya vituo vya mafuta ποΈ,
π18. Kutoa ushauri jinsi ya kuanzisha na kufanya biashara ya mafuta na biashara zingine π‘,
ππ20. Tunauza Vitabu vya Kujifunza Ujuzi, Biashara Mbalimbali na Ujasiriamali! π
π21. Kusajili; Majina ya Kampuni na majina ya Biashara BRELA. π
π22. Kuomba TIN namba na leseni za Biashara. π
π23. Kufanya Malipo Online Kupitia Visa Card, Mastercard, Airtel Money, Mpesa na Tigo Pesa. π³
π25. Kusaidia kuandaa documents za maombi ya mikopo
Unaweza kutupata kupitia tovuti yetu:
π Kuwasiliana nasi kupitia
βοΈ Whatsapp kwa namba 0612607426 au tupigie 0687746471
π§ Kupitia barua pepe bandg.editors@gmail.com.
Muandishi akiona fursa anaweza kukuzunguka fastaπ€£π€£π€£π€£.Huu ni ujinga.Kazi niombe mimi halafu niombe ninyi mniandikie?Uzuzu plus+.
Huyu meneja huwa ana kaharufu ka utapeli.Muandishi akiona fursa anaweza kukuzunguka fastaπ€£π€£π€£π€£.
Mambo ya kutuma washenga wakutongozee halafu wanaishia kutongoza wenyewe.
Huyu meneja huwa ana kaharufu ka utapeli.
Muandishi akiona fursa anaweza kukuzunguka fastaπ€£π€£π€£π€£.
Mambo ya kutuma washenga wakutongozee halafu wanaishia kutongoza wenyewe.
Siwezi kuja kwenu mniandikie.Mimi siyo kilema.Walimu wangu watalia sana.
Sawa boss kuandikiwa barua sio kwamba unakua hujui. Kuna wakati unakua huna muda una kazi nyingi inabidi utafute watu wakusaidie ili uokoe muda.Siwezi kuja kwenu mniandikie.Mimi siyo kilema.Walimu wangu watalia sana.
Hivi meneja,kwa akili zangu kweli ndiyo nijilegeze mniandikie barua ya maombi ya kazi?Hapana.Mtawaandikia wale wazembe waliokuwa wananifuatia namba darasani.Sawa boss kuandikiwa barua sio kwamba unakua hujui. Kuna wakati unakua huna muda una kazi nyingi inabidi utafute watu wakusaidie ili uokoe muda.
Hata viongozi wanaandikiwa hotuba. Hata wakaguzi wa mahesabu ya serikali wana kodi makampuni ya kuwakagulia na kuandaa ripoti. Kiufupi tunategemeana huwezi kufanya kila kitu peke yako.