Mfano wa barua ya kuvutia ya maombi ya ajira iliyo andikwa na Bright and Genius Editors

Ukijifunza kuheshimu kazi za watu ndipo utaweza fanikiwa. Naomba tuheshimiane kwenye kazi zetu.
😁😁😁🀐vijana bana.... sasa wewe uko verified (kwa maana ya hiyo kampuni) unakomaa kubishana na robots (anonymous) na unashupaza kabisa mshipa wa shingo😁😁... Bro/Sister ur wasting time. Amini unachokifanya na kubali kukosolewa. Hii platform usidhani wote vilaza. Wapo watu proficient mara million yako na wana uzoefu wa miaka na elimu za kutosha. More likely wanafanya zaidi yako. So kama umeamua kuji'expose/jitangaza kwamba unajua kitu fulani basi accept challenges +/-...


ILA KIUKWELI BARUA NDEFU SANA. WE, DIRECTORS OR THEM HR's NO TIME TO READ ALL CONTENTS OF 1000APPS OF THE SAME...
 
Kwa akili yako ndogo unadhani HRs huwa waasoma barua za watu 55,000 waomba kazi?
Ni kweli awasomi ila kwa nchi zilizoendelea wanascreen kwa kutumia COMPUTER na kudiscard cv na cover letter zenye mapungufu zinazobaki wanaanza kuzipitia
 
Mkuu umekosa tena kosa kubwa official letter haindikwi hivyo mkuu ni hapo umeacha kumbu kumbu no na tarehe ya tangazo ni vitu muhimu sana kwenye barua
 
Content nyingine kwenye hiyo barua haikuwa na ulazima.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…