Mfano wa Maswali ya Usaili PCCB TAKUKURU Mtihani wa Mchujo

Abtali Mwerevu

JF-Expert Member
Joined
May 5, 2013
Posts
796
Reaction score
707
Soma: Maswali ya Kujiandaa na Oral Interview TAKUKURU

Vijana wengi wameitwa katika usaili wa mchujo TAKUKURU au PCCB. Usaili huu ni wa kuandika na unafanyika kwa njia ya kompyuta. Wengi walioitwa katika usaili, hawajui hasa ni maswali ya aina gani yanatoka. Ni jambo la hatari kwenda katika mtihani ambao hujui maswali yataulizwa kuhusu nini, endapo hili likitokea, si jambo la kushangaza PACOME likiandikwa kama jibu!

Kwa mujibu wa wazoefu wa mambo haya, maswali yanayotoka ni yale ya kuchagua. Yanaweza kuwa maswali 50 au tofauti, lolote linawezekana. Kwa kuwa nafasi ya kazi inahusu TAKUKURU, maswali mengi yataihusu hiyohiyo TAKUKURU.

Kwa yeyote aliiyeitwa katika usaili, anaposoma, asome mambo mengi kuhusu TAKUKURU, lakini ahakikishe ana maarifa ya kutosha kuhusu mambo mbalimbali katika jamii, awe na uelewa wa masuala ya kompyuta na akili mnemba AI, na hata kama hajasoma hesabu, ahakikishe angalau anaweza kukokotoa hesabu nyepesi.

Unaweza kutazama mfano wa maswali zaidi ya 100 yatakayokusaidia katika maandalizi ya mtihani wako kwa Kusoma Hapa.
 
ivi mshahara wa hawa jamaa kwa level ya bachelor ni shingap
 
Back
Top Bottom