Mfanyabiashara ahukumiwa kunyongwa Dar, alimuua mdai wake aliyempa hela amuagizie Fuso

mbona story yako haijaisha mkuu alikamtwa vipi? maana ni majirani zetu hao ilala

jamaa alihama kabisa ilala na kwenda magomeni,mwenye nyumba akampata mpangaji mwengine ambae ni sharifu aliyekuwa anatibu watu kwa Quran.

sharifu alikuwa kila akilala usiku kuna nafsi inalalamika full maluwe luwe navhasa akienda au kupita hapi alpozikwa marehemu.

Basi ilifanyika dua na kugundua kuwa kuna kitu kibaya kimezikwa sehemu hyo,ndipo alipoitwa mwenye nyumba,baada ya kuja naye akakubali wafukue lakini mjumbe na mwenye kiti awepo na mwenyekiti nae akasema si vibaya wakawepo wale polisi wanaokaaga kata.

kwenye kuchimba ndo wakakutana na mwili wa huyo marehemu mwenye nyumba kubwanwa hana ajuacho mpangaji aliyetoka alipobanwa kidogo tu akafunguka yote.

ni kesi ya muda mrefu nimeshangaa mtu kuhukumiwa leo wakat ushahid ulikuwa waz kabisa
 
😀😀😀😀
 
🤔🤔🤔
 
Hpn muuaji ndie aliye mpa pesa jamaa amuagizie gari Aina ya fuso ikapita muda bila kuletewa gari ndipo muuaji akamuita jamaa na Kisha kuja kumuua nyumbni kwake aliko panga bean muuaji

Aliueuawa ndio alitoa pesa kwa muuaji. Ndio maana siku anaondoka aliaga anaenda kuchukua gari kwa rafiki yake ambaye ndio muuaji.
 
Muongo mkubwa wewe
 
Mara nyingi mauaji yoyote huwa lazima yaache alama ama viashiria vya kuanzia upelelezi!

Ingawa kabla ya kutekeleza mauaji hayo, watu hujidanganya kuficha tukio, lakini hawawezi kuziba mianya yote jambo hilo lisiweze kujulikana milele!
 
Umeandika yoote hivyo muuaji apigwe shaba ya kichwa na yeye tumfukie ili uzi ufungwe rasmi.
 
Uzuri bongo hakunaga kunyongwa.

Tangu enzi za Nyerere hakuna Rais aliyewahi kutia saini ya 'hanging penalty'
Mkuu nani alikukaririsha hayo?
Au ni wee mwenyewe tu umeamua kujitungia historia yako unavyopenda mwenyewe?
 
Nipeleke kwenye uzi ulioleta hii story mwaka huo..
 
Hizo hadithi za adidu za rejea msipende kutumia, Daudi, mara Yusto mara nani sijui. Weka vitu ambavyo sisi tumeviona au kusikia kwa wakati huu. Hizo fiction stories achananeni nazo.
 
duuh hatari sana hakupiga zegee au ndo Mungu aliamua kumuumbua
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…