Kwani warithi sio walipa kodiNaona hakujifukiza. Walipakodi ndo wanakata moto.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwani warithi sio walipa kodiNaona hakujifukiza. Walipakodi ndo wanakata moto.
Alikazwa Hospitali gani hapa Arusha?View attachment 1714095
Mfanyabiashara maarufu mkoani Arusha, Andrew Mollel ambaye alikuwa mwanzilishi na Mkurugenzi wa kampuni mbalimbali mkoani Arusha amefariki dunia na kuibua simanzi kwa wakazi wengi wa jiji hilo.
Akizungumza na Mwananchi leo, Februari 28, Mbunge wa jimbo la Monduli , Fredrick Lowassa amesema kifo cha Mollel ni pigo kubwa katika jiji la Arusha kutokana na mchango wake.
Lowassa amesema taratibu za mazishi wa Mollel zinaendelea kufanywa na wanafamilia lakini, kubwa ambalo Arusha watamkumbuka ni kuandaa michoro ya mradi mkubwa wa nyumba za PPF zilizopo eneo la Kijenge jijini hapa ambalo lilikuwa ni eneo lake.
Mollel alikuwa pia ni mkurugenzi wa kampuni ya Happy Sausages ,Kijenge Animal Products Limited, Georges Center Ltd na AGM Holding na pia mjumbe wa bodi mbali mbali hapa nchini.
Mollel pia alikuwa ni rafiki wa karibu wa Waziri mkuu mstaafu Edward Lowassa.
Kifo cha mfanyabiashara huyu ni mfululizo wa vifo vya wafanyabiahara kadhaa katika jiji la Arusha katika siku za karibuni.
Mnhhh...!!Alikazwa Hospitali gani hapa Arusha?
Handsome awe na hela anapendezea...sasa uwe handsome uwe kapuku😏Very handsome like me
Kwahyo sisi tulotepeta tuko njia moja...sidhan bwana... kwa sura yake tu jinsi anavyoonekana mwili kutepeta; yule mgeni hatari akibisha hodi hata kuitika hawezi! Mwili umetepeta sana. RIP.
Jamaa alikuwa handsome siyo wa kubahatisha,ukichanganya na rangi ya chungwa aliyonayo+pamba kali ungempenda bila kutakaVery handsome like me
Wamama wanaouza vichwa na miguu ya kuku wanaujua vyema mchango wa andrew george kwenye maisha yao na familia zao! Rip george.Andrew George Mollel. Mzee alienyanyua sana mji wa Arusha kiuchumi na hasa ajira kwa watu wa kawaida.
Pumzika Baba.
Hivi ni kweli besti sababu kuu na ya kipekee mwanamke kuchanganyikiwa ni pale anampata mwanamume anayejua kugegegeda vizuri sana halafu huyo mwanamume ni maskini balaa hana helaHandsome awe na hela anapendezea...sasa uwe handsome uwe kapuku😏
Hapana wa Elerai Constructions, Northern Engineering ni Lema.Hivi wa Northern Electrical ndio huyu huyu au tofauti