TANZIA Mfanyabiashara Andrew Mollel afariki dunia (mmiliki wa Happy Sausages)

Wow uko vizuri ila vipi na mradi/pesa je mnafanana ?au wewe ni uzuri tu🤔
For my age am good somehow in economy.
Miaka 31 nina nyumba 2 Dar es salaam , gari moja, pikipiki moja na mke pamoja na mtoto1 na mwingine anakuja mwezi June.
Binafsi vinanitosha, wala sina tamaa ya mimali mingi nianze kulala na bastola kitandani.
Kwa mtoto niliyekua kwa kulalia mikeka chini kwa hatua hii sio mbaya kwangu.
 
Mbona hawasemi ukweli kuwa amejinyonga? Mzee Molel amejinyonga, binti yake Happy alikua mchepuko wangu
Taratibu ni zile zile BARAKOA,"SANTAIZA",Maji tiririka na sabuni,Social distancing ,avoid mikusanyiko etc
 
For my age am good somehow in economy.
Miaka 31 nina nyumba 2 Dar es salaam , gari moja, pikipiki moja na mke pamoja na mtoto1 na mwingine anakuja mwezi June.
Binafsi vinanitosha, wala sina tamaa ya mimali mingi nianze kulala na bastola kitandani.
Kwa mtoto niliyekua kwa kulalia mikeka chini kwa hatua hii sio mbaya kwangu.
Ooh basi uko vizuri mkuu at 31 tayari una nyumba tena ni nyumbas si mchezo! Big up wengine tunakaribia umri huo ila nikiangalia nnachomiliki ni Laptop tu😀😀
 
Hiko ni kipaumbele chako. Mimi naipenda sana laptop ila pesa ya kununua laptop sina kwasasa. Labda hizi used ambazo kwa hakika naziogopa.
 
Ooh basi uko vizuri mkuu at 31 tayari una nyumba tena ni nyumbas si mchezo! Big up wengine tunakaribia umri huo ila nikiangalia nnachomiliki ni Laptop tu😀😀
Eeenh Heee.

Imenibidi nicheke!

Hiyo 'laptop' ni mali kweli, inaweza kukuletea zaidi ya hizo nyumba za huyo jamaa.

Jaribu tu kukitumia ipasavyo kifaa hicho.
 
LOOoo, mzee na 'Bling Bling' zake mkononi?

Huyu kweli pesa alikuwa nayo! Hiyo gold chain pekee hapo ni mshahara mzima wa mwaka wa akina Yehood wanaoishi hapa JF wakipotosha kila hoja zinazohusu mungu wao.

Pole kwa wafiwa.
Aiseee
 
Back
Top Bottom