TANZIA Mfanyabiashara Andrew Mollel afariki dunia (mmiliki wa Happy Sausages)

TANZIA Mfanyabiashara Andrew Mollel afariki dunia (mmiliki wa Happy Sausages)

Mkuu heshima kwako. Ujumbe wako umenigusa kichiz inabid nijirekebishe. But my hands are tide there's nothing i can do stopping boosting my soul (cha Arusha)

Lord help me!
Pamoja boss. Nimekuelewa sana mkuu.
 
Hapana wa Elerai Constructions, Northern Engineering ni Lema.
King yani nimehuzunika kichiz Lema kanyooosha😭😭😭😭😭

Screenshot_20210301_094413.jpg
 
Mkuu heshima kwako. Ujumbe wako umenigusa kichiz inabid nijirekebishe. But my hands are tide there's nothing i can do stopping boosting my soul (cha Arusha)

Lord help me!
Unamfahamu vizuri huyu bwana na Wazazi wake?
 
Sio kweli, kuna Northern Electrical na kuna Elerai Constructions co.

-Wa Northern Electrical ni ADAM MOLLEL

-Wa Elerai Construction ni LEMA na ambaye sasahv serikali imemfilisi sana kupitia ile kampuni inayotoa matofali mazito ya kerai i.e

Kerai Construction Company
Bashite na Baba yake ndio wamemfilisi kwa kumchomoa mzigo kama 9b.
 
King yani nimehuzunika kichiz Lema kanyooosha😭😭😭😭😭
😢Walimzushia wiki ile ingine na haikua kweli, ikasemekana alipelekwa Dar kwa matibabu.
Daah! Huko Arusha sasa ishakua balaa kubwa
 
Hi
Wamama wanaouza vichwa na miguu ya kuku wanaujua vyema mchango wa andrew george kwenye maisha yao na familia zao! Rip george.
Hivi office yao ndio.wako Kijenge chini pale kwenye mafremu mapya mbele kidogo kwa Athumani chips ?.. Na chini kidogo ya daraja?
 
Wewe acha wivu. Am very handsome
Kabla ya hii northern engineering kulikuwa na nyingine ikiitwa NEM, northern electrica---- ilikuwa njiro mtaa wa viwandani,ilikuwa ni ya mmasai akiitwa Mollel pia,ila sijui kama ni huyu Andrew george.
NEM ilikuwa yake na jamaa mwingine Adam Mollel, baadaye bidhaa za wachina zilipokuja kwa wingi kampuni ikazorota kama sio kufa kila mtu akaendelea na mishe zake, Adam akaanzisha Mollel Electric ambayo bado nadhani ipo na inafanya vizuri tuu, huyu ndio akaendelea na KAP, AGM nk nk
 
Yeye kazaliwa Arusha maeneo ya Oloirien ( Burusu). Babu zao ndio walikuwa waamiaji na sio wao. Kuna cousin wao mmoja namjua anatumia jina la MzeeTemba wa Kimandolu maeneo ya Phillips (walioishi Kijenge ya juu au maeneo ya Sekei wanawajua kina Temba), cousin mwingine maarufu ni Mzee wa Pendeza studio ilikuwa pale Sheikh A A stadium. Kuna mandugu zao kibao Kijenge ya chini na maeneo ya Mwanama
 
Back
Top Bottom